Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tofauti ni kama CIA na FBIUtofauti wake ni upi??
[emoji16][emoji16] dah bongo kuna watu mna akili sana mnafikiria hadi kero.kwamba unaweza ikibiwa mchana wasijue Ila demu hadi rangi wanamjuaKuna maspy wengine wapo tu mtaani, kazi kuangalia umekula nini..
Wa uswahilini ndio nuksi, unaweza kuibiwa godoro lako 7 mchana wasijue, ila ukiingiza demu 9 usiku hanamjua rangi, sauti yake mpaka muda wa kutoka [emoji23][emoji1787]
Uswahilini raha saana[emoji1787]
Bongo noma saana mzee.. 😂[emoji16][emoji16] dah bongo kuna watu mna akili sana mnafikiria hadi kero.kwamba unaweza ikibiwa mchana wasijue Ila demu hadi rangi wanamjua
Tena spy mzuri ni yule anayefit profile.Ukipitia Jeshi unaleta ulizo ila ukiwa na normal profile unakuwa na urahisi katika kufit inHabari za wakati huu wakuu?
Natamani kujua, maana kuna Watu unaweza kudokezewa kuwa ni pandikizi but ukiwaangalia hawako strong,yaani ni wa kawaida tu kama mtu ambae hajapitia mafunzo. Je,kuna uwezekano wa kuifanya Kazi Hii bila kupitia mafunzo ya Jeshi?? Hasahasa kwa hawa informers?
Umeona eeSpy wa Bongo hawa wana nini mbali na kutisha watu kwenye mabaa na vibastola vyao na kupora wake/wapenzi za watu?
Spy nenda CIA, Mossad, M16 na then KGB wanafanya ushushushu wa kiuchumi kusaidia nchi zao kujikwamua....hovyo tu!
Spy wanashindwa hata kumkamata mtu aliyekuwa anavujisha siri nzito za serikali wakati wa Magufuli?
Leta manenokuna tofauti kati ya Spy na Informer .
Ile ilikuwa ni zaidi ya aibu.Spy wa Bongo hawa wana nini mbali na kutisha watu kwenye mabaa na vibastola vyao na kupora wake/wapenzi za watu?
Spy nenda CIA, Mossad, M16 na then KGB wanafanya ushushushu wa kiuchumi kusaidia nchi zao kujikwamua....hovyo tu!
Spy wanashindwa hata kumkamata mtu aliyekuwa anavujisha siri nzito za serikali wakati wa Magufuli?
Ajabu kafa tu akina Kigogo wote wameshika madaraka siri hazivuji tena. Siasa kwa hakika ni mchezo mchafu na wa hatari sana aisee. Ukizubaa tu wasaliti wanaku-chachawangwe mchezo kwisha unalala yooo [emoji445][emoji445]Ile ilikuwa ni zaidi ya aibu.
Hakika usaliti ni halisi.
Wakulima wa siasa.Ajabu kafa tu akina Kigogo wote wameshika madaraka siri hazivuji tena. Siasa kwa hakika ni mchezo mchafu na wa hatari sana aisee. Ukizubaa tu wasaliti wanaku-chachawangwe mchezo kwisha unalala yooo [emoji445][emoji445]
Ngoja tuone hawa wasaliti mwisho wao utakavyokuwa [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Marehemu Mahiga, mzee wa joka la mdimu, Kipilimba wote hao walikua na vyeo gani jeshini?haiwezekani hata kidogo
maana spy ni kwa ngazi ya utaifa hivyo ni wateule wachache walio iva hasa kuanzia utimamu wa fikra na mwili.