Kuna uwezekano wa Kuwa Spy bila kupitia Jeshi??

Kwa Moviea kadhaa nilizoangalia Informer ni mtu yule ambae anakuwa ndani ya kikund anaiba intel yaan inside guy, wakat spy ni mtu anaejipachika katika mazingira fulan kutoka kwa agency au bureau
πŸ™πŸ™
 
Kuna spy na kuna WAMBEA.
Mtu yeyote anaweza kuwa mbea ila kuwa spy sio wote wanaweza.
Angalia movie ya jet Lee.
My father is hero
Jet Lee kacheza Kama spy
 
[emoji16][emoji16] dah bongo kuna watu mna akili sana mnafikiria hadi kero.kwamba unaweza ikibiwa mchana wasijue Ila demu hadi rangi wanamjua
 
Spy = mpelelezi lazima mafunzo
wakati
informer=mpasha habari hatakama hana mafunzo ni poa bt ajue nini anatolea taarifa
 
Tena spy mzuri ni yule anayefit profile.Ukipitia Jeshi unaleta ulizo ila ukiwa na normal profile unakuwa na urahisi katika kufit in
 
Movie zinaharibu sana vijana wa siku hizi
 
Spy wa Bongo hawa wana nini mbali na kutisha watu kwenye mabaa na vibastola vyao na kupora wake/wapenzi za watu?

Spy nenda CIA, Mossad, M16 na then KGB wanafanya ushushushu wa kiuchumi kusaidia nchi zao kujikwamua....hovyo tu!

Spy wanashindwa hata kumkamata mole aliyekuwa anavujisha siri nzito za serikali wakati wa Magufuli? Kwa miaka mitano mizima? [emoji15][emoji15]
 
Umeona ee
Bhali na tuja gete
 
Ile ilikuwa ni zaidi ya aibu.



Hakika usaliti ni halisi.
 
Ile ilikuwa ni zaidi ya aibu.



Hakika usaliti ni halisi.
Ajabu kafa tu akina Kigogo wote wameshika madaraka siri hazivuji tena. Siasa kwa hakika ni mchezo mchafu na wa hatari sana aisee. Ukizubaa tu wasaliti wanaku-chachawangwe mchezo kwisha unalala yooo [emoji445][emoji445]

Ngoja tuone hawa wasaliti mwisho wao utakavyokuwa [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Wakulima wa siasa.
 
haiwezekani hata kidogo
maana spy ni kwa ngazi ya utaifa hivyo ni wateule wachache walio iva hasa kuanzia utimamu wa fikra na mwili.
Marehemu Mahiga, mzee wa joka la mdimu, Kipilimba wote hao walikua na vyeo gani jeshini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…