Uchaguzi 2020 Kuna uwezekano wa nchi hizi zikatumika katika kudukua Mfumo wa Uchaguzi. Intel za Serikali kuweni macho

Kejuu,

Wacheni woga, uchaguzi uwe huru na haki atakayeshindwa asipate sababu za kujitetea. Inapendeza sana uchaguzi ukiwa huru na mshindi na walioshindwa wakapeana mikono ya heri, lakini hizi figisu mnazoanza hazitatuacha salama. Kama mumefanya vizuri mtachaguliwa tu, sasa hizi hofu za nini tena.
 
Kenya wadukue Nini? Komputa yenyewe wanajua.? Tuache kuwachukua dhambi
 
Asa wadukue nin mbona mnaweweseka sana,uchaguzi wenyewe sio electronic tunahesababu makaratasi na wakurugenz wanatangaza
 
Uwezo wa kufanya hivyo wanao, sababu ya kufanya hivyo wanayo ila nia tu ndio hawana so usiogope mleta mada
 
Hahaaaa...raha ha JF kila mtu jasusi, kila mtu mchambuzi, kila mtu mtaamu.

Brother hapa umeandika pumba tupu.
 
Yan mm na akili zangu niende kwenye kituo cha kupiga kura nmepe mlopokaji (lissu) kura yangu? Never never.. ...ni jambo jema taadhari muhimu
watu tunatofautiana jman hiv magu ana nini au kanya nin mpaka mtu ampe kura..duuh jmn
 
Jamaa ni woga tu umemtanda. Lakini hakuna lisilowezekana Ilidukuliwa Marekan sembuse huu utopolo wa TCRA??
 
Mwenyekiti leo karudia mara tatu “ndege zinipigie kura..madaraja yanipigie kura “..huyo mzee atazirai akiona Lissu anasepa na kijiji
 
Hehehe mkuu CCM hawawezi kubali kwenda fair hivyo watapotea mchana tu. Lazima wawe na ma agent wao wa kuforce, masanduku ya kura za ziada zile.
Mwitikio umewatisha hawakutarajia pamoja na biti lao watu nado walienda kumpokea
 
Hehehe mkuu CCM hawawezi kubali kwenda fair hivyo watapotea mchana tu. Lazima wawe na ma agent wao wa kuforce, masanduku ya kura za ziada zile.
Mwitikio umewatisha hawakutarajia pamoja na biti lao watu nado walienda kumpokea
Na hilo ndio limewatawanya wote. Wamepoteana
 
watu tunatofautiana jman hiv magu ana nini au kanya nin mpaka mtu ampe kura..duuh jmn
Sioni sababu yoyote ya kumpa kura mtu aliyeshindwa kuleta mabadiliko chanya kwa mikaa 5. Huku alikuwa waziri kwa miaka zaidi ya 20 humo humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…