Mimi natokea Arusha.Upewe hata Jina langu wakuu angalau kutuenzi na sisi wananchi wa chini.tupige kura kuchagua jina linalostahili
jina litakalo tumika linatakiwa kutoka kwa mtu aliechangia jambo kwneye jamii,haya mkuu wewe umelifanyia nini taifaMimi natokea Arusha.Upewe hata Jina langu wakuu angalau kutuenzi na sisi wananchi wa chini.
Nalipa kodi na hua najitahidi sana kutokwepa maana najua fika mjenga nchi ni mwananchi.jina litakalo tumika linatakiwa kutoka kwa mtu aliechangia jambo kwneye jamii,haya mkuu wewe umelifanyia nini taifa
au sio!Haitakiwi kutumia michezo kama chaka la kufunikia uovu.
kila mtu ni mlipa kodi banah sote ni wachangiajjNalipa kodi na hua najitahidi sana kutokwepa maana najua fika mjenga nchi ni mwananchi.
Tanganyika uzoba umezidi.Imagine mahakama ya ICC wanatangaza kufungua uchunguzi rasmi wa makosa ya jinai dhidi ya Samia, mara anajiandaa kusimama kizimbani huko The Hague, halafu machawa mnazindua uwanja wa AFCON na kuupa jina lake. Hapo italeta picha gani? Hapo hata Motsepe mwenyewe atawakimbia.
Naona kuna kasi ya kujenga viwanja vingi Zanzibar. Sasa hivi vimefika hadi vitatu kama siyo vinne vinapendekezwa kutumiwa kwa ajili ya AFCON huku Tanganyika hakuna uwanja hata mmoja ulio tayari. Inawezekana wanajiandaa kwa uwezekano wa AFCON kufanyika Tanzania bila kufanyika Tanganyika?
Kuna picha linaonekana linakuja huko mbele, watu wanaandaa kete zao ila sijui wengine mmejiandaaje.....
Sawa mkuu,kama mnaona nitafaidi sana mkiuita uwanja kwa Jina langu sio kesi...Sisi wananchi wa chini hatuna haki nchi hii.kila mtu ni mlipa kodi banah sote ni wachangiajj
usijali unaitwa nani boss,ili tulipendekeze jina lakoSawa mkuu,kama mnaona nitafaidi sana mkiuita uwanja kwa Jina langu sio kesi...Sisi wananchi wa chini hatuna haki nchi hii.
sikupingi bali n wazo langu tu kwa nini jina lisiwe MO29Mimi natokea Arusha.Upewe hata Jina langu wakuu angalau kutuenzi na sisi wananchi wa chini.
Yanga ni Uwmccm mkuuNa Yanga wanatumika tena kutupa code mapema kama walivyofanya kabla ya MO29. Wenye masikio na wasikie....
Nashukuru umeona hilo!Imagine mahakama ya ICC wanatangaza kufungua uchunguzi rasmi wa makosa ya jinai dhidi ya Samia, mara anajiandaa kusimama kizimbani huko The Hague, halafu machawa mnazindua uwanja wa AFCON na kuupa jina lake. Hapo italeta picha gani? Hapo hata Motsepe mwenyewe atawakimbia.
Naona kuna kasi ya kujenga viwanja vingi Zanzibar. Sasa hivi vimefika hadi vitatu kama siyo vinne vinapendekezwa kutumiwa kwa ajili ya AFCON huku Tanganyika hakuna uwanja hata mmoja ulio tayari.
Inawezekana wanajiandaa kwa uwezekano wa AFCON kufanyika Tanzania bila kufanyika Tanganyika?
Kuna picha linaonekana linakuja huko mbele, watu wanaandaa kete zao ila sijui wengine mmejiandaaje.....