Kuna uwezekano wa uwanja wa Arusha usipewe jina la Samia?

Kama huna facts,yaani taarifa kamili unapokuelezea kitu,unaonesha ujuha ulionao.Uwanja wa arusha unajengwa kwa kasi ya ajabu na kwa utaalamu mkubwa mno.Utamalizika katika muda uliopangwa.Ama kuhusu Zanzibar wao walianza kujenga viwanja na kuvirekebisja viwanja vyao kabla ya AFCON.Na kwa taarifa yako viwanja vingi vya Zenji vulikuwepo hivyo vimefanyiwa ukarabati mkubwa sana na vinaendelea kufanyiwa ukarabati.Tanzania ni nchi yetu na ni yako pia,kama kuna kiongozi au viongozi huwataki ni demokrasia yako.Yawezekana humpendi Samia sawa lakini hufaidiki na lolote kwa kuandika uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…