Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Malaria imewahi kuwa na bado ni ugonjwa mbaya sana uliwowaathiri mamilioni ya watu hasa wakiwa watoto katika nchi zote za Africa Kusini mwa janga la Sahara(Sub-Saharan Africa) hasa na Tanzania ikiwepo.
Athari mojawapo za ugonjwa wa malaria hasa kwa watoto wadogo ni kudumaa ubongo wao na kupelekea kupungua kwa IQ wanapokuwa watu wazima.
Inawezekana matokeo ya mataifa yetu kuwa na watu wenye akili ndogo ikiwemo viongozi ni pamoja na haya magonjwa kama Malaria utotoni hali inayosababisha kuendelea kuzorota hata kwa maendeleo yote kitaifa kwa ujumla.