Nadhani kinachofanya kuwa na IQ ndogo ni uvivu wa kufikiri, yaani mtu muda wote yuko kijiweni anapiga soga unadhani atakuwaje na IQ kubwa (hana muda wa kutulia peke yake).Mkuu huoni kama Watanzania wengi wana IQ ndogo sana ?
Unaweza ukawa sahihi hata zaidi ya sanaMkuu huoni kama Watanzania wengi wana IQ ndogo sana ?
Mimi Ni Mhanga wa MALARIA,Malaria imewahi kuwa na bado ni ugonjwa mbaya sana uliwowaathiri mamilioni ya watu hasa wakiwa watoto katika nchi zote za Africa Kusini mwa janga la Sahara(Sub-Saharan Africa) hasa na Tanzania ikiwepo.
Athari mojawapo za ugonjwa wa malaria hasa kwa watoto wadogo ni kudumaa ubongo wao na kupelekea kupungua kwa IQ wanapokuwa watu wazima.
Inawezekana matokeo ya mataifa yetu kuwa na watu wenye akili ndogo ikiwemo viongozi ni pamoja na haya magonjwa kama Malaria utotoni hali inayosababisha kuendelea kuzorota hata kwa maendeleo yote kitaifa kwa ujumla.
Kama uliugua hivyo bila shaka IQ yako imeshuka pia, bahati yako ni kama ulikuwa na IQ kubwa kwa hiyo hata iliposhuka bado ukabaki na ya kutosha kiasi.Mimi Ni Mhanga wa MALARIA,
Malaria ilisababisha Nikachomwa Sindano za Quinine Ambazo zikafanya Niwe na Usikivu Hafifu Mpaka Leo 😢
Lakini Kichwa Changu kinafanya kazi Vizuri ☺️, Tangu Darasa La 6 Nipoteze Usikivu Nimesoma Mpaka chuo Na Kufaulu Licha ya Kuwa sisikikii Chochote Darasani.
Kwahyo Mleta Mada sidhani kama Malaria ndio Chanzo, Binafsi nadhani Kutokuwa na Desturi ya Kujisomea Vitabu ndo Chanzo cha yote....
Na kuna Mtu Maarufu Aliwahi Kusema "Ukitaka Kumficha Muafrika Mfiche katika Maandishi...."
Maralia kiundani ni ugonjwa unatumaliza tabaka la chini kwa sana huku tunashukuru.!Malaria ikifikia kichwani ukichelewesha unakua zezeta hivi hivi.
Tumejaliwa kila kitu Africa ila sasa "kudumaa kwa akili" , wazungu wanafurahi ili watunyonye. Angalia tulivyopokea ukristu bila kuhoji!!Malaria imewahi kuwa na bado ni ugonjwa mbaya sana uliwowaathiri mamilioni ya watu hasa wakiwa watoto katika nchi zote za Africa Kusini mwa janga la Sahara(Sub-Saharan Africa) hasa na Tanzania ikiwepo.
Athari mojawapo za ugonjwa wa malaria hasa kwa watoto wadogo ni kudumaa ubongo wao na kupelekea kupungua kwa IQ wanapokuwa watu wazima.
Inawezekana matokeo ya mataifa yetu kuwa na watu wenye akili ndogo ikiwemo viongozi ni pamoja na haya magonjwa kama Malaria utotoni hali inayosababisha kuendelea kuzorota hata kwa maendeleo yote kitaifa kwa ujumla.
Kuna mtoto wa ndugu yangu hayuko sawa kiakili na kimwili, wakati akiwa na umri wa miaka 4 alipatwa na malaria kali kichwani, alichelewa kupata tiba, sahivi yuko abnormal, na ana umri wa 16yrs now, ukimuona utasema ana miaka 8 au 9, yaan hayuko sawa.Maralia kiundani ni ugonjwa unatumaliza tabaka la chini kwa sana huku tunashukuru.!
Vikiria hivi.. Bacteria anauwezo wa kujigawanya katika kila sekunde 20 mara 2..!
Ona sasa maana yake kila baada ya dakika ni 3 ya jumla ya idadi.!
Kwa ufupi maralia ni gonjwa hatari zaidi ya ukimwi mara 1000
Ungesema Dini bila kuhoji.!Tumejaliwa kila kitu Africa ila sasa "kudumaa kwa akili" , wazungu wanafurahi ili watunyonye. Angalia tulivyopokea ukristu bila kuhoji!!
Central nerves system ipo kwa kichwa na ndio regulator.!Kuna mtoto wa ndugu yangu hayuko sawa kiakili na kimwili, wakati akiwa na umri wa miaka 4 alipatwa na malaria kali kichwani, alichelewa kupata tiba, sahivi yuko abnormal, na ana umri wa 16yrs now, ukimuona utasema ana miaka 8 au 9, yaan hayuko sawa.