Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,284
- 4,595
Kutoka kwa Dr. Simon Paul Gidufanaa
"Yanga SC wanasema wao ndiyo wanaidai TFF TSH 226 MILLION
BAHATI MBAYA SANA kwenye hizo Hesabu hapo Yanga SC wamesema Ubingwa wa CRDB Confederation Cup Msimu wa 2023/2024 ni 200 MILLION kitu ambacho SI KWELI.
Ubingwa wa Kombe la Shirikisho ni 50M Miaka yote haijawahi kubadilika hata Siku moja, manake kwenye hizo hesabu zao kuna nyongeza ya 150 MILLION ambayo ni MAKOSA. Hivyo basi 226 MILLION Ukitoa 150 MILLION
Una bakiwa na 76 MILLION
Mwaka Jana 2024 , Tarehe 7 Agosti walituma TFF Barua yenye
Kumb:Na YAH.YSC/TFF/2024/330
Ikiwa na Kichwa cha Habari
YAH: VIBALI KWA WAGENI.
Ambapo katika Barua hiyo wanasema kutokana na kupanda kwa Gharama za Wachezaji wa Kigeni kutoka 4 MILLION hadi 8 MILLION
Kwa Mchezaji 1, Wanaomba kuongeza Kiasi cha 48 MILLION
Ambacho wanapenda kikatwe kutoka kwenye Pesa zao za Zawadi.
Kiasi cha 48 MILLION HAKIJAWEKWA hapo kwenye Jedwali / Barua iwe kwa Makusudi au Bahati mbaya.
76 MILLION ukitoa 48 MILLION unabakiwa na 28 MILLION, LAKINI Yanga SC kama vile haitoshi Tarehe 5 February 2025
Waliandika Barua TFF yenye Kumb Na: YAH.YSC/TFF/2025/019 yenye
Kichwa cha Habari YAH: UTAMBULISHO WA MAKOCHA WAPYA.
Ambapo waliwatambulisha Makocha Miloud Hamid na Nassim Anisse na Kuomba Ada ya Malipo kiasi cha DOLA za Marekani 450 (Tshs 1.2MILLION) zikatwe kutoka kwenye Pesa zao za Ushindi zilizopo TFF.
Hapo ina maana kwenye 28 MILLION inabaki 27 MILLION.
Kama Yanga SC huo ndio mwenendo wao wa kupokea Pesa kidogo kidogo na baadae kuonyesha WAMESAHAAU basi huenda Kesho Kikao na TFF kikawa KIFUPI MNO manake watapewa Nyaraka zao tu.