Kuna Vibaka nawaona kabisa wanakula Rada Dirisha la Gheto langu, tafadhalini nichagulieni Adhabu ya kuwapa ambayo hawatoisahau Milele

Kuna mwamba anaitwa chura sasa ni marehemu alikuw mchimba makaburi kinondoni.

Maaskari walienda kumkamata akachukua ndoo na Kopo akachota mavi chooni. Kisha akajipaka mavi mwili mzima akatoka nje kwenda kuwakumbatia maaskati. Cha ajabu akawa anawakimbiza yeye maaskari wanakimbiaπŸ˜€

True story ilikuwa kinondoni B miaka hiyo.
 
Kaa na maji ya betri just in case. Wakija tu na ukiwaona warushie na uwapofue macho.....hawatarudi tena hapo kwako kwani watapotea njia ya kurudi makwao kutokana na kuto ona waendako.
 
Kumbeee Una maneno machafu hiviiii?? Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijaamini km ndo wee. Uwiiiiiih
Amna ni maongezi na popoma, Unajua huyu jamaa unaweza kumjibu vizuri na bado akakutukana....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ So! Huwa thread zake naenda nazo kama alivyo mwenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ni utani tuuπŸ€—πŸ€—πŸ€—
 
Amna ni maongezi na popoma, Unajua huyu jamaa unaweza vizuri na bado akakutukana....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ So! Huwa thread zake naenda nazo kama alivyo mwenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ni utani tuuπŸ€—πŸ€—πŸ€—
Tena cocastic huyu jamaa niliishi nae jirani. Akiingiza demu ndani huwa ni matusi tu kwenda mbeleπŸ˜€ ni kawaida yake
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dah! Nilisha isikia hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaa! Hii ilishawahi pia tokea pale mahabusu za msimbazi police, mahabusu alioga mavi mwili mzima alikimbia, aisee maafande pale kituoni walimpisha haraka haraka mno. Ilikuwa kituko kwakweli πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…