Kuna Vibaka nawaona kabisa wanakula Rada Dirisha la Gheto langu, tafadhalini nichagulieni Adhabu ya kuwapa ambayo hawatoisahau Milele

Kuna Vibaka nawaona kabisa wanakula Rada Dirisha la Gheto langu, tafadhalini nichagulieni Adhabu ya kuwapa ambayo hawatoisahau Milele

Kuna mwamba anaitwa chura sasa ni marehemu alikuw mchimba makaburi kinondoni.

Maaskari walienda kumkamata akachukua ndoo na Kopo akachota mavi chooni. Kisha akajipaka mavi mwili mzima akatoka nje kwenda kuwakumbatia maaskati. Cha ajabu akawa anawakimbiza yeye maaskari wanakimbia😀

True story ilikuwa kinondoni B miaka hiyo.
 
Je,

1. Wakija Kuniibia nimsaidie Kazi Israeli ili wakayaanze Maisha yao mapya Kinondoni au Kisutu?

2. Wakija Kuniibia niwe tu Mpole wachukue watakacho

3. Wakija Kuniibia nivizie wa Kwanza kuingiza / kupenyeza Kichwa chake Dirishani Kwangu na nikitenganishe Kichwa chake na Kiwiliwili?

4. Wakija Kuniibia nimtegemee tu Mungu wangu wa Kanisa Katoliki au nimwage Maji ya Mtume Mwamposa Chumbani Kwangu?

5. Wakija Kuniibia niweke CD yenye Mlio wa Risasi na niiseti iwe inajirudia kila baada ya dakika 15 ili Kuwatisha?

6. Wakija Kuniibia nitegeshe Flat Screen yangu iliyochoka kama DalaDala za Vikindu Dirishani kisha kwa Makusudi niweke Mkanda wa Mibaiolojiano / Mibanduano ili iwatamanishe na Wategeshe Mimacho yao kisha nitoke nje taratibu nikawashtue Majirani na tuje Kuwadaka kiurahisi na tuwapige Usiku Kucha hadi IGP Mwetu ( Poti ) Mzanaki Mwenzangu Wambura atakapokuja Kumuokoa na Police wake?

7. Wakija Kuniibia kwa Makusudi niwashe Taa na nijifanye nafanya Mazoezi ya Karate huku nalia Kikarateka kama Muasisi Bruce Lee na muda mwingine niwe napiga Sarakasi za Miguu juu Ukutani na nimalizie kwa Kucheza na Panga huku nikiliburuza Sakafuni Kiukakamavu na nikimaliza nijifanye naongea na Simu na Mwanajeshi wa Lugalo King Kong III nikimuulizia Bunduki yangu ameiacha na Risasi ngapi kwani nataka kuanza Zoezi langu tukuka la Kulenga Shabaha kwa Usiku huu?

Nayasubiri majibu yenu kwani bado nawaona wanapitapita Kimkakati usawa wa Dirisha langu hivyo nami nataka kuwaonyesha kuwa Mimi ni Mtoto wa Mjini kuliko Bujibuji Simba Nyamaume, Bila bila na adriz
Kaa na maji ya betri just in case. Wakija tu na ukiwaona warushie na uwapofue macho.....hawatarudi tena hapo kwako kwani watapotea njia ya kurudi makwao kutokana na kuto ona waendako.
 
Kumbeee Una maneno machafu hiviiii?? Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijaamini km ndo wee. Uwiiiiiih
Amna ni maongezi na popoma, Unajua huyu jamaa unaweza kumjibu vizuri na bado akakutukana....😂😂😂😂 So! Huwa thread zake naenda nazo kama alivyo mwenyewe 😂😂😂😂 ni utani tuu🤗🤗🤗
 
Amna ni maongezi na popoma, Unajua huyu jamaa unaweza vizuri na bado akakutukana....😂😂😂😂 So! Huwa thread zake naenda nazo kama alivyo mwenyewe 😂😂😂😂 ni utani tuu🤗🤗🤗
Tena cocastic huyu jamaa niliishi nae jirani. Akiingiza demu ndani huwa ni matusi tu kwenda mbele😀 ni kawaida yake
 
Kuna mwamba anaitwa chura sasa ni marehemu alikuw mchimba makaburi kinondoni.

Maaskari walienda kumkamata akachukua ndoo na Kopo akachota mavi chooni. Kisha akajipaka mavi mwili mzima akatoka nje kwenda kuwakumbatia maaskati. Cha ajabu akawa anawakimbiza yeye maaskari wanakimbia😀

True story ilikuwa kinondoni B miaka hiyo.
😂😂😂😂😂 dah! Nilisha isikia hii😂😂😂😂😂
 
Kuna mwamba anaitwa chura sasa ni marehemu alikuw mchimba makaburi kinondoni.

Maaskari walienda kumkamata akachukua ndoo na Kopo akachota mavi chooni. Kisha akajipaka mavi mwili mzima akatoka nje kwenda kuwakumbatia maaskati. Cha ajabu akawa anawakimbiza yeye maaskari wanakimbia😀

True story ilikuwa kinondoni B miaka hiyo.
Hahaa! Hii ilishawahi pia tokea pale mahabusu za msimbazi police, mahabusu alioga mavi mwili mzima alikimbia, aisee maafande pale kituoni walimpisha haraka haraka mno. Ilikuwa kituko kwakweli 😆
 
Back
Top Bottom