Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
wewe dogo kuwa makini unaaacha wwezi wakichukulie sheria mkononi kuwa makini kabisa na marinda😀😀🤣kuwa tu mpole wachukue watakacho😂 wezesha vijana....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe dogo kuwa makini unaaacha wwezi wakichukulie sheria mkononi kuwa makini kabisa na marinda😀😀🤣kuwa tu mpole wachukue watakacho😂 wezesha vijana....
marinda yametoka wapi tena bro😂 GENTAMYCINE ni mkufunzi ana mihela, asaidie vijanawewe dogo kuwa makini unaaacha wwezi wakichukulie sheria mkononi kuwa makini kabisa na marinda😀😀🤣
wewe unamshaurije mtu atoe wanachotaka wezi. Je wezi wakiwa wanatokea mombasa😀marinda yametoka wapi tena bro😂 GENTAMYCINE ni mkufunzi ana mihela, asaidie vijana
akiona wanamgeuza abadilishe mawazo 😂wewe unamshaurije mtu atoe wanachotaka wezi. Je wezi wakiwa wanatokea mombasa😀
bila shaka bado unajiweza kwa kiasi chakeNiliacha Ukufunzi wa Chuo tokea November 2013 na hivi sasa ni Masikini na Mzurulaji tu wa Jiji la Chalamila.
unatakiwa uwe na filimbi ili kuipoga kama ukiona hatari..akiona wanamgeuza abadilishe mawazo 😂
Kaa na maji ya betri just in case. Wakija tu na ukiwaona warushie na uwapofue macho.....hawatarudi tena hapo kwako kwani watapotea njia ya kurudi makwao kutokana na kuto ona waendako.Je,
1. Wakija Kuniibia nimsaidie Kazi Israeli ili wakayaanze Maisha yao mapya Kinondoni au Kisutu?
2. Wakija Kuniibia niwe tu Mpole wachukue watakacho
3. Wakija Kuniibia nivizie wa Kwanza kuingiza / kupenyeza Kichwa chake Dirishani Kwangu na nikitenganishe Kichwa chake na Kiwiliwili?
4. Wakija Kuniibia nimtegemee tu Mungu wangu wa Kanisa Katoliki au nimwage Maji ya Mtume Mwamposa Chumbani Kwangu?
5. Wakija Kuniibia niweke CD yenye Mlio wa Risasi na niiseti iwe inajirudia kila baada ya dakika 15 ili Kuwatisha?
6. Wakija Kuniibia nitegeshe Flat Screen yangu iliyochoka kama DalaDala za Vikindu Dirishani kisha kwa Makusudi niweke Mkanda wa Mibaiolojiano / Mibanduano ili iwatamanishe na Wategeshe Mimacho yao kisha nitoke nje taratibu nikawashtue Majirani na tuje Kuwadaka kiurahisi na tuwapige Usiku Kucha hadi IGP Mwetu ( Poti ) Mzanaki Mwenzangu Wambura atakapokuja Kumuokoa na Police wake?
7. Wakija Kuniibia kwa Makusudi niwashe Taa na nijifanye nafanya Mazoezi ya Karate huku nalia Kikarateka kama Muasisi Bruce Lee na muda mwingine niwe napiga Sarakasi za Miguu juu Ukutani na nimalizie kwa Kucheza na Panga huku nikiliburuza Sakafuni Kiukakamavu na nikimaliza nijifanye naongea na Simu na Mwanajeshi wa Lugalo King Kong III nikimuulizia Bunduki yangu ameiacha na Risasi ngapi kwani nataka kuanza Zoezi langu tukuka la Kulenga Shabaha kwa Usiku huu?
Nayasubiri majibu yenu kwani bado nawaona wanapitapita Kimkakati usawa wa Dirisha langu hivyo nami nataka kuwaonyesha kuwa Mimi ni Mtoto wa Mjini kuliko Bujibuji Simba Nyamaume, Bila bila na adriz
Kumbeee Una maneno machafu hiviiii?? LolWabong’olee tuu! Panda juu ya meza binuka kitako juu [emoji23][emoji23][emoji23] kama nesi anavyokuchomeka sindano[emoji23][emoji23][emoji23]
wakipuliza dawa ya usingizi umeisha.... wanaiba taratibuunatakiwa uwe na filimbi ili kuipoga kama ukiona hatari..
haha kama rahisi hivyo mbona huibi?wakipuliza dawa ya usingizi umeisha.... wanaiba taratibu
ukipelekwa central kule niliendaga nilikuta wanapewa kipigo cha mbwa mwitu 😂haha kama rahisi hivyo mbona huibi?
Amna ni maongezi na popoma, Unajua huyu jamaa unaweza kumjibu vizuri na bado akakutukana....😂😂😂😂 So! Huwa thread zake naenda nazo kama alivyo mwenyewe 😂😂😂😂 ni utani tuu🤗🤗🤗Kumbeee Una maneno machafu hiviiii?? Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijaamini km ndo wee. Uwiiiiiih
ndio maana muoga muoga. Kuna mwenzako alisikia mwizi mwizi nje akaenda ndani kujifungia kumbe kajifungia na mwizi. Yule mwizi alimkumbatia usiku kucha 😀 kulipokucha akasepaukipelekwa central kule niliendaga nilikuta wanapewa kipigo cha mbwa mwitu 😂
Tena cocastic huyu jamaa niliishi nae jirani. Akiingiza demu ndani huwa ni matusi tu kwenda mbele😀 ni kawaida yakeAmna ni maongezi na popoma, Unajua huyu jamaa unaweza vizuri na bado akakutukana....😂😂😂😂 So! Huwa thread zake naenda nazo kama alivyo mwenyewe 😂😂😂😂 ni utani tuu🤗🤗🤗
siwezi kua mwizi its too risky kufilwa na mabaunsandio maana muoga muoga. Kuna mwenzako alisikia mwizi mwizi nje akaenda ndani kujifungia kumbe kajifungia na mwizi. Yule mwizi alimkumbatia usiku kucha 😀 kulipokucha akasepa
Acha uoga
😂😂😂😂😂 dah! Nilisha isikia hii😂😂😂😂😂Kuna mwamba anaitwa chura sasa ni marehemu alikuw mchimba makaburi kinondoni.
Maaskari walienda kumkamata akachukua ndoo na Kopo akachota mavi chooni. Kisha akajipaka mavi mwili mzima akatoka nje kwenda kuwakumbatia maaskati. Cha ajabu akawa anawakimbiza yeye maaskari wanakimbia😀
True story ilikuwa kinondoni B miaka hiyo.
Tena chunga na wizi wa wake za watu. Huku Jf nakuona mda wote unawatongoza wake za watu 😀siwezi kua mwizi its too risky kufilwa na mabaunsa
Hahaa! Hii ilishawahi pia tokea pale mahabusu za msimbazi police, mahabusu alioga mavi mwili mzima alikimbia, aisee maafande pale kituoni walimpisha haraka haraka mno. Ilikuwa kituko kwakweli 😆Kuna mwamba anaitwa chura sasa ni marehemu alikuw mchimba makaburi kinondoni.
Maaskari walienda kumkamata akachukua ndoo na Kopo akachota mavi chooni. Kisha akajipaka mavi mwili mzima akatoka nje kwenda kuwakumbatia maaskati. Cha ajabu akawa anawakimbiza yeye maaskari wanakimbia😀
True story ilikuwa kinondoni B miaka hiyo.
Fafanua matusi gani sasa...😂😂😂😂 au kuchakata mbususu kinoma noma😂😂😂😂Tena cocastic huyu jamaa niliishi nae jirani. Akiingiza demu ndani huwa ni matusi tu kwenda mbele😀 ni kawaida yake