Kuna Video iliyokuwa ikionesha Polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori. Polisi wadai amekufa kwa homa ya mapafu

Juzi kati hapa kimara mwisho ilikua Jmosi mida ya saa mbili usiku trafik kamkimbiza hawa jamaa wabeba mizigo kweny kirikuu..alivofika akaanza kumpiga vibao jamaa ..jamaa mtu mzima kwanini asimpelekee gari trafik akadondoka jamaa akampitia mara mbili miguu vunjika vunjika..jamaa akasepa.
Hili la kujichukulia sheria mkonon sijui wanatumia sheria ipi!!
 
Vizuri sana..wewe utanipigaje makofi kipuuzi puuzi tu.
 
Kuna aliyesema uchunguzi ufanywe kujua Kama dereva kafia sero au mochwari.
 
Hii LAANA itawaandama maisha yao yote, nasikiliza maelezo ya mkuu wa mkoa , maelezo ya kipuuzi kabisa, hivi unawezaje kutetea jambo ambalo liko wazi kabisa lenye ushahidi wa video ...kwamba aliyesababisha kifo ni askari trafiki.
 
Hii LAANA itawaandama maisha yao yote, nasikiliza maelezo ya mkuu wa mkoa , maelezo ya kipuuzi kabisa, hivi unawezaje kutetea jambo ambalo liko wazi kabisa lenye ushahidi wa video ...kwamba aliyesababisha kifo ni askari trafiki.
Hapo wanacholaani ni kuchukuliwa kwa hivo video, maana wangeruka kihunzi mapema tu..lakini sasa wameshaumbuka.
 
Tukio linalozungumzwa sana mitandaoni kwa sasa ni kifo cha dereva wa lori huko Mbeya ambaye hadi sasa chanzo chake bado ni kitendawili.

Kada mkongwe wa CCM mzee Mgaya amesema sasa ifike mwisho kwa serikali ya CCM kuwa inanyooshewa kidole kwa kila mambo ya hovyo yanapotokea.

Kama kamati ya RC Chalamila itabaini kuhusika kwa polisi kama kisababishi cha kifo basi Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene ni lazima ajiuzulu kuonyesha uwajibikaji wa kisiasa, na yeye hatakuwa waziri wa kwanza kujiuzulu hata mzee Mwinyi alijiuzulu miaka ile ya 70 japokuwa hakuwepo mkoa wa tukio, amemaliza mzee Mgaya kwa hasira.

Maendeleo hayana vyama!
 

RC muongo muongo tu ,Mwenyekiti wa madereva wa malori kaconfirm kwamba Dereva alikufa mikononi mwa polisi.

Kwako Mwalimu Kashasha.

Development has no party.
 
Barua Ya Rais Mstaafu Mzee Ally Hassan Mwinyi (Kipindi Waziri Wa Mambo Ya Ndani mwaka 1977),

Alikua Waziri Wa Mambo Ya Ndani kipindi cha utawala wa Mwalimu J K Nyerere mwaka 1977, kumbuka kipindi hicho simu zilikua za shida na taarifa mpaka kukufikia ni miezi au mwaka, alipopata taarifa ya kuwa polisi walisababisha vifo vya raia huko Mwanza na Shinyanga. Aliandika barua hii ya kujiuzulu haraka kwa Mwalimu Nyerere.

Hii barua ukiisoma vizuri na ukaielewa mantiki yake unaweza ukatokwa na machozi, ukitafakari Mawaziri wa Zamani (Wenye busara na hekima) VS Mawaziri Wa Sasa (Watapia tumbo).

 
Na huyo dereva alipigia kura kijani na njano, swadakta mitano tena.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Ko kila failure solutions n kujiuzulu?, Wacha tusubir majibu ya hyo kamat wahusika wawajibishwe , small minded hata hili watamuhusisha Rais πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…