Ndomana watu wengine wanaamua kukushtakia kwa munguKesi ngumu sana hii ila haiondoi kosa ka askari hao.
Tatizo watu wengi wanaendekeza shida binafsi kwenye masuala yanayohitaji weledi, polisi wengi wanachangamoto za kimaisha hali inayopelekea kufanya maamuz yenye kusukumwa na mihemko ndani yake
tii sheria bila shuruti
Acha Unafiki wewe ni mwanaume... Hutakiwi kuishi hiviWatendaji wa serikali wamekuwa na roho mbaya sana sijajua kwanini?
Mfano Afisa wa Latra kule Mtwara alitaka kumchinja kwa jambia dereva wa roli.
Mtendaji wa kijiji kule Meru kamdunda mwananchi
Mlinzi wa Suma Jkt hospitali ya mkoa Shinyanga kampiga mwananchi aliyekuwa anampelekea mama yake dawa
Mwekezaji mzawa kajinyonga Ihefu....etc.....etc!
Sijajua tatizo ni nini hasa!!
Tatizo ni nchi inaongozwa na washamba na malimbukeniWatendaji wa serikali wamekuwa na roho mbaya sana sijajua kwanini?
Mfano Afisa wa Latra kule Mtwara alitaka kumchinja kwa jambia dereva wa roli.
Mtendaji wa kijiji kule Meru kamdunda mwananchi
Mlinzi wa Suma Jkt hospitali ya mkoa Shinyanga kampiga mwananchi aliyekuwa anampelekea mama yake dawa
Mwekezaji mzawa kajinyonga Ihefu....etc.....etc!
Sijajua tatizo ni nini hasa!!
Mchawi ni mchawi tuKUSANYA TAARIFA URUDI TENA MAANA HUJATAJA MBEYA ENEO GANI? DEREVA NI NANI ALIKUWA NA KOSA GANI? BAADA KIFO KUTOKEA WANANDUGU WAMEPEWA MWILI QU HAPANA AU WAMEZIKA WAPI. USIPANDE CHUKI BUREEEE.
La luvunda halina ubaniNi vema raia tukajifunza utii wa sheria bila shurti. Pia kwa baadhi ya askari kutumia nguvu kuzidi kiasi sio sahihi.
Inferiority complex ndiyo Tatizo lao hao maaskariKuna askari waungwana na wengine wapuuzi. Kuna msemo mmoja wa kiswahili unasema kwamba "katika msafara wa mamba na kenge pia wamo"
Kwani ni.lazima kushuka kwenye gari?? Kama umetii na umesima...wakataka leseni ukawapa? Kwa nn wakushushe kwa nguvu kwenye gari mpaka kupelekea kifo?
Haki itendeke
na watu waliona trafiki ana kosa..walichofanya ni kumweka kwenye bajaji apelekwe hosp..Wamama wakaanza kusema yaani huyu alikua mzima sasa hivi ona sasa miguu imegeuka uji..[emoji3]kilema cha maisha
KUSANYA TAARIFA URUDI TENA MAANA HUJATAJA MBEYA ENEO GANI? DEREVA NI NANI ALIKUWA NA KOSA GANI? BAADA KIFO KUTOKEA WANANDUGU WAMEPEWA MWILI QU HAPANA AU WAMEZIKA WAPI. USIPANDE CHUKI BUREEEE.
...Mkuu, Usisahau pia hawa Sums JKT ndio walisababisha pia Kifo cha Kiongozi wetu was Coastal Union pale Muhimbili...kosa lake kubwa likiwa no kumtetea Muendesha Boda Boca asipigwe nao....Watendaji wa serikali wamekuwa na roho mbaya sana sijajua kwanini?
Mfano Afisa wa Latra kule Mtwara alitaka kumchinja kwa jambia dereva wa roli.
Mtendaji wa kijiji kule Meru kamdunda mwananchi
Mlinzi wa Suma Jkt hospitali ya mkoa Shinyanga kampiga mwananchi aliyekuwa anampelekea mama yake dawa
Mwekezaji mzawa kajinyonga Ihefu....etc.....etc!
Sijajua tatizo ni nini hasa!!
You're a Wiseman 🙏IGP Simon Sirro najua kwa sasa utakuwa jijini Dar tena kwenye sherehe ya kuwatunuku baadhi ya vijana wako kuhitimu mafunzo.
Tafadhali issues kama hizi zinadhalilisha jeshi lako na kukuweka kwenye tanuru, hebu toa mfano kwa hawa vijana wako kwa kitendo hiki.
NB:
Vaa barakoa, nawa mikono kwa sabuni na maji tiririka pia uwe mbali na mikusanyiko.
Hapa tunazungumzia maisha ya watu hatuko kwenye kilabu cha mbege!Acha Unafiki wewe ni mwanaume... Hutakiwi kuishi hivi
Nani mjanja nchi hii?Tatizo ni nchi inaongozwa na washamba na malimbukeni
Stress za kuisaidia ccm kuiba kura kisha ccm umewatupa Hadi uchaguzi ujaoWatendaji wa serikali wamekuwa na roho mbaya sana sijajua kwanini?
Mfano Afisa wa Latra kule Mtwara alitaka kumchinja kwa jambia dereva wa roli.
Mtendaji wa kijiji kule Meru kamdunda mwananchi
Mlinzi wa Suma Jkt hospitali ya mkoa Shinyanga kampiga mwananchi aliyekuwa anampelekea mama yake dawa
Mwekezaji mzawa kajinyonga Ihefu....etc.....etc!
Sijajua tatizo ni nini hasa!!
Mitano ya kunyonga wanyonge.Ndio awamu wanyonge wamenyongwa kweli na mtetezi wa wanyongeMitano tena👋👋👋
Au nasema uongo ndugu zangu?
Siku ingine watakutana na kichaa gari ipo kwenye gia anakanyaga moto chagua uruke au mufeKwani ni.lazima kushuka kwenye gari?? Kama umetii na umesima...wakataka leseni ukawapa? Kwa nn wakushushe kwa nguvu kwenye gari mpaka kupelekea kifo?
Haki itendeke