Kuna Video iliyokuwa ikionesha Polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori. Polisi wadai amekufa kwa homa ya mapafu

Kesi ngumu sana hii ila haiondoi kosa ka askari hao.

Tatizo watu wengi wanaendekeza shida binafsi kwenye masuala yanayohitaji weledi, polisi wengi wanachangamoto za kimaisha hali inayopelekea kufanya maamuz yenye kusukumwa na mihemko ndani yake
Ndomana watu wengine wanaamua kukushtakia kwa mungu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Watendaji wa serikali wamekuwa na roho mbaya sana sijajua kwanini?

Mfano Afisa wa Latra kule Mtwara alitaka kumchinja kwa jambia dereva wa roli.

Mtendaji wa kijiji kule Meru kamdunda mwananchi

Mlinzi wa Suma Jkt hospitali ya mkoa Shinyanga kampiga mwananchi aliyekuwa anampelekea mama yake dawa

Mwekezaji mzawa kajinyonga Ihefu....etc.....etc!

Sijajua tatizo ni nini hasa!!
Acha Unafiki wewe ni mwanaume... Hutakiwi kuishi hivi
 
Hili si sawa matukio ya matumizi ya nguvu zaidi yanaanza jirudia, tunaomba hatua kali stahiki zichukuliwe dhidi ya wahusika. Pumzika kwa amani kamanda
 
Watendaji wa serikali wamekuwa na roho mbaya sana sijajua kwanini?

Mfano Afisa wa Latra kule Mtwara alitaka kumchinja kwa jambia dereva wa roli.

Mtendaji wa kijiji kule Meru kamdunda mwananchi

Mlinzi wa Suma Jkt hospitali ya mkoa Shinyanga kampiga mwananchi aliyekuwa anampelekea mama yake dawa

Mwekezaji mzawa kajinyonga Ihefu....etc.....etc!

Sijajua tatizo ni nini hasa!!
Tatizo ni nchi inaongozwa na washamba na malimbukeni
 
KUSANYA TAARIFA URUDI TENA MAANA HUJATAJA MBEYA ENEO GANI? DEREVA NI NANI ALIKUWA NA KOSA GANI? BAADA KIFO KUTOKEA WANANDUGU WAMEPEWA MWILI QU HAPANA AU WAMEZIKA WAPI. USIPANDE CHUKI BUREEEE.
Mchawi ni mchawi tu
 
Kwani ni.lazima kushuka kwenye gari?? Kama umetii na umesima...wakataka leseni ukawapa? Kwa nn wakushushe kwa nguvu kwenye gari mpaka kupelekea kifo?
Haki itendeke

Mi nadhani kama alikuwa hataki kushuka wangechukua funguo na leseni kisha wakamuacha dereva wamsubiri chini mpaka atakapo taka mwenyewe kushuka
 
na watu waliona trafiki ana kosa..walichofanya ni kumweka kwenye bajaji apelekwe hosp..Wamama wakaanza kusema yaani huyu alikua mzima sasa hivi ona sasa miguu imegeuka uji..[emoji3]kilema cha maisha

Duh kuna watu wapo serious na maisha hawataki upuuzi
Huyo traffic atakuwa somo kwa wenzie,Kuna magroup yao huko watsap lazima wanapashana habari [emoji1][emoji1][emoji1]
 
KUSANYA TAARIFA URUDI TENA MAANA HUJATAJA MBEYA ENEO GANI? DEREVA NI NANI ALIKUWA NA KOSA GANI? BAADA KIFO KUTOKEA WANANDUGU WAMEPEWA MWILI QU HAPANA AU WAMEZIKA WAPI. USIPANDE CHUKI BUREEEE.

Kosa traffic case
Eneo Inyala Mbeya
Dereva kafa
Ndugu wanataka uchunguzi
Mkoa uchunguzi wa kina
Madereva Uonevu umezidi
Wananchi Yetu macho
 
Watendaji wa serikali wamekuwa na roho mbaya sana sijajua kwanini?

Mfano Afisa wa Latra kule Mtwara alitaka kumchinja kwa jambia dereva wa roli.

Mtendaji wa kijiji kule Meru kamdunda mwananchi

Mlinzi wa Suma Jkt hospitali ya mkoa Shinyanga kampiga mwananchi aliyekuwa anampelekea mama yake dawa

Mwekezaji mzawa kajinyonga Ihefu....etc.....etc!

Sijajua tatizo ni nini hasa!!
...Mkuu, Usisahau pia hawa Sums JKT ndio walisababisha pia Kifo cha Kiongozi wetu was Coastal Union pale Muhimbili...kosa lake kubwa likiwa no kumtetea Muendesha Boda Boca asipigwe nao....
 
IGP Simon Sirro najua kwa sasa utakuwa jijini Dar tena kwenye sherehe ya kuwatunuku baadhi ya vijana wako kuhitimu mafunzo.

Tafadhali issues kama hizi zinadhalilisha jeshi lako na kukuweka kwenye tanuru, hebu toa mfano kwa hawa vijana wako kwa kitendo hiki.

NB:
Vaa barakoa, nawa mikono kwa sabuni na maji tiririka pia uwe mbali na mikusanyiko.
You're a Wiseman 🙏
 
Zamani ilikuwa ukifeli form four unaenda upolisi. So inaeleweka kwa nini wana reasoning ya namna hii.
 
Watendaji wa serikali wamekuwa na roho mbaya sana sijajua kwanini?

Mfano Afisa wa Latra kule Mtwara alitaka kumchinja kwa jambia dereva wa roli.

Mtendaji wa kijiji kule Meru kamdunda mwananchi

Mlinzi wa Suma Jkt hospitali ya mkoa Shinyanga kampiga mwananchi aliyekuwa anampelekea mama yake dawa

Mwekezaji mzawa kajinyonga Ihefu....etc.....etc!

Sijajua tatizo ni nini hasa!!
Stress za kuisaidia ccm kuiba kura kisha ccm umewatupa Hadi uchaguzi ujao
 
Kwani ni.lazima kushuka kwenye gari?? Kama umetii na umesima...wakataka leseni ukawapa? Kwa nn wakushushe kwa nguvu kwenye gari mpaka kupelekea kifo?
Haki itendeke
Siku ingine watakutana na kichaa gari ipo kwenye gia anakanyaga moto chagua uruke au mufe
 
Back
Top Bottom