Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Kuna video inasaaba kwenye mitandao. Hiyo video ni ya kutisha. Askari wa kenya anauliwa kinyama mbele ya kamera.
Kabla ya kuuliwa askari huyo katoa malalamiko yake kuwa wanatakiwa waondoke Somalia.
Ninataka kujua ukweli. Kenya inafanya nini huko somalia!?
Askari kapigwa risasi live na akafa hapo hapo.
Eee Mungu uwape hekima viongozi wa africa.