Kutoka Kenya tuingie Somalia.
1. Serikali ya Somalia imepata nguvu.
2. Uchaguzi nchini Somalia.
3. Economy ya Somalia imeendela pakubwa.
4. Mashambulizi nchini Somalia yamepungua pakubwa.
5. Mashambulizi Kenya yamepungua pakubwa.
6. Al shabaab zaidi ya 50,000 wameuliwa.
7. Al shabaab wamepunguzwa nguvu kwa zaidi ya asilimia 90.
8. Exports kutoka Kenya hadi Somalia zimeongezeka.
Sasa,
Napoleone kimbelembele kutoka Jamiiforums ndiye ataskizwa, ama tutaskiza data?
Wadhani Wakenya ni waoga kama Watanzania?
Kama mnaweza tumia vichwa vyenu vizuri, sasa hivi mngekuwa investor wakubwa DRC.
Lakini Kenya ambayo hata haina border na DRC ndio inaongoza kwa biashara huko.