Kuna video inazunguka kuhusu askari wa kenya kuuawa kinyama somalia

Kuna video inazunguka kuhusu askari wa kenya kuuawa kinyama somalia

Status
Not open for further replies.
Hayo sio malalamiko yake.
Hayo ni malalamiko ya Alshabaab, wakamlazimisha aseme.

Somalia hatubanduki.
hii inaonyesha mlivyo na jeshi na askari legelege, askari shupavu anajua fika hata umfurahisheje adui hawawezi kukuacha salama. KULIKUWA NA HAJA GANI KUKUBALI KUSEMA MANENO YOTE? HAPANA SHAKA SIRI ZOTE ZA KDF ALIWAAMBIA? POOR KDF
 
Kutoka Kenya tuingie Somalia.

1. Serikali ya Somalia imepata nguvu.
2. Uchaguzi nchini Somalia.
3. Economy ya Somalia imeendela pakubwa.
4. Mashambulizi nchini Somalia yamepungua pakubwa.
5. Mashambulizi Kenya yamepungua pakubwa.
6. Al shabaab zaidi ya 50,000 wameuliwa.
7. Al shabaab wamepunguzwa nguvu kwa zaidi ya asilimia 90.
8. Exports kutoka Kenya hadi Somalia zimeongezeka.

Sasa, Napoleone kimbelembele kutoka Jamiiforums ndiye ataskizwa, ama tutaskiza data?
Wadhani Wakenya ni waoga kama Watanzania?
Kama mnaweza tumia vichwa vyenu vizuri, sasa hivi mngekuwa investor wakubwa DRC.
Lakini Kenya ambayo hata haina border na DRC ndio inaongoza kwa biashara huko.
Mtakufa kwa njaaa wakenya nani asie jua mnashindia maugali na sukuma weak uimara wa uchumi lazima uendane na mtu mmoja mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I recommend You join your friends in claiming 72 virgins
5719618_dveuniic_jpeg1caede31f2f70b2531e0b5e76d01c51b

6773775_img20180302205641_jpeg6ba081138d9c87b59a0dd33bed9c23c6
3826394_ckphnww0aauhkw_jpegb3ee4183d7ea0bc186907ea71b364ad9
3826391_ckpdv6xeaaox7o_jpeg656c933a0dbfde0b6ef58b16401c9a5a
duu alishabab wanapukutika
 
Moderator I reported this thread but no action has been taken! it's very disheartening that this is left to draw debate/traffic to your site at the expense of gallant soldiers and glorify terrorists and terrorism. shame on you jf mods! I hope now you are happy.
 
Ukishakubali kuwa askari ni mawili kufa au kupona kwa huyu si ajabu tena kafa maiti ikiagika kuna wengine hawatamaniki na inaonesha wazi huyo askari alivyo legelege huwezi ongea maneno aliyoyatoa kwa Taifa lake hali ya kuwa katumwa na Rais wake kutetea nchi yake angekubali kufa si kuonesha uboya huo poor KDF,kwa clip hiyo Na alichokiongea si ajabu KDF jamii yake wakakimbia na wengine wakagoma kwenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya vimbelembele na mmarekan kawaingiza mkenge wapigane vita yao,kwann wasitoke huko somalia,kujifanya manunda,hyo vita haitoisha,na kenya hawana hela ya vita hyo maana hua haiish,watapigana milele

Et kusaidia peace somalia,si muwaache wauaneee wenyew..

Sent using Jamii Forums mobile app
Usuje ukaongea jambo usilolijua ama kwa ushabiki tuu kwa kuwa uko na kitekno chako basi waweza kuandika chochote.
1. Juhudi wanazozifanya kenya zafaa kuungwa mkono na jumuia za kimataifa kuwamaliza hao nyau

2. Kumbuka Kenye ndio ilichokozwa ya kwanza na ndio ikapeleka majeshi huko na kuwepo kwake huko hakuwasaidii wao tuu bali wanasaidia eneo zima la afrika mashariki

3. Ugaidi hauna mipaka na ukiwaacha wa ji mobilize lengo lao sii kenya bali lengo lao la msingi ni kuunda DAESH yaani kumaliza kabisa kwa mtutu wa bunduki wale wote wanaoamini tofauti na wao eneo zima la afrika.

4. Watu wanafikiri kuwa hao wanaojiita alishababu ni wasomali pekee lakini hawajiulizi ni kwa nini mikanda ya propaganda wanayoirekodi wanaongea KISWAHILI SAFI KABISA, ni swali la kutafakari na la kuchukua hatua mapema kuthibiti

5. Kila mtu afuatilie nyendo za ndugu yake, hasa akianza kusafirisafiri na kubadilisha misimamo ya kiimani kuna siku wewe unachekelea hapa watakwenda kwenye mazoezi huko kwenye mapori ya taifa lililoanguka ( FAILED STATE) wakirudi hata wewe mzazi wao watakuona ni kafir watakumaliza.... Tuwaombee ndugu zetu wakenya na tuwape moyo.
 
Kutoka Kenya tuingie Somalia.

1. Serikali ya Somalia imepata nguvu.
2. Uchaguzi nchini Somalia.
3. Economy ya Somalia imeendela pakubwa.
4. Mashambulizi nchini Somalia yamepungua pakubwa.
5. Mashambulizi Kenya yamepungua pakubwa.
6. Al shabaab zaidi ya 50,000 wameuliwa.
7. Al shabaab wamepunguzwa nguvu kwa zaidi ya asilimia 90.
8. Exports kutoka Kenya hadi Somalia zimeongezeka.

Sasa, Napoleone kimbelembele kutoka Jamiiforums ndiye ataskizwa, ama tutaskiza data?
Wadhani Wakenya ni waoga kama Watanzania?
Kama mnaweza tumia vichwa vyenu vizuri, sasa hivi mngekuwa investor wakubwa DRC.
Lakini Kenya ambayo hata haina border na DRC ndio inaongoza kwa biashara huko.
Haya mambo yakutu underrate ndio hayafai hapa, sidhani kama kuna anayefurahi kuona binadamu anakufa kwa kuuliwa, tuna battle kwenye mambo ya uchumi na maisha yaliyotuzunguka ila sio busara kwenye vitu kama ivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii inaonyesha mlivyo na jeshi na askari legelege, askari shupavu anajua fika hata umfurahisheje adui hawawezi kukuacha salama. KULIKUWA NA HAJA GANI KUKUBALI KUSEMA MANENO YOTE? HAPANA SHAKA SIRI ZOTE ZA KDF ALIWAAMBIA? POOR KDF

You've seen so many movies.
99% ya binadamu under torture atasema anavyoambiwa.
 
Kama na wewe unawashwa nenda ukaishi nairobi, nakupa mwaka mmoja tu. Kama hawajaja kukutimbia kwako na kula kiboga bila woga.
Don't mess up with Al shabaab. Wanaume wa shoka
MSN-- ww hao mabwn zko
Dau yenu ni kuwaolea wake zenu
Njooni tunawasubiria bongo muone tukavyowala 713 zenu
We si unawashabikia magaidi nyuma ya keyboard
Ngeke mkbw wee

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don't mess up with Al shabaab. Wanaume wa shoka.
Dakika yoyote wanatimba Nairobi city center wanakiwasha. Na mtachinjwa chinjwa hivo hivo mpaka mkome.

We have "messed up" with alshabab since 2010. Tumeuwa maelfu wao.
Ilhali Nairobi hawajaua ata zaidi ya watu 90.

Wewe kwa akili yako maji unadhani nani wa kuogopwa?
 
Mimi ni mjinga ndio.
Wenye akili ni Al shabaab wenye uwezo wa kutimba city center nairobi na kuliamsha dude. Mtakoma!!!!

Kenyans deaths - 500
Al shabaab deaths - 50,000

Walioshinda akili Al shabaab ni wewe tu, kwa sababu wewe ni kichwa maji.
 
You've seen so many movies.
99% ya binadamu under torture atasema anavyoambiwa.
TOFAUTISHA ASKARI NA RAIA, RAIA ATASEMA KILA KITU, SI ASKARI. ASKARI HATA USEME SIRI ZOTE KWA MTEKAJI, KIFO HUTAKIEPUKA, MAANA WEWE SIYO SALAMA KWAO.
 
Nasema hivi, na bado.
Al shabaab is the biggest threat to Kenyans night sleepness.
Mtakoma!!! Dont mess up with them.

Lol. The biggest threat to Kenya.
More people died in road accidents last week, than Al shabab have killed in Kenya since 2010.
More Kenyan businessmen have been imprisoned and expelled from Tanzania than Alshabab have killed us.

The biggest threat to Kenyans is people like you with no brain.
 
TOFAUTISHA ASKARI NA RAIA, RAIA ATASEMA KILA KITU, SI ASKARI. ASKARI HATA USEME SIRI ZA KUMTOSHA MTEKAJI AFANIKIWE KILA KITU, KATIKA HALI YA KAWAIDA KIFO HAKIEPUKIKI MAANA SIYO SALAMA KWAO KUMWACHIE ASKARI HURU

Kama nilivyosema, you've watched too many movies.
Askari ako na damu, mifupa na nyama kama raia yeyote.

Na sijui nani akakudanganya polisi hupitia training ya torture. Movie kweli zimedanganya wengi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom