Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Hahaha... Akili majimaji rebellion katika ubora wao!
Moderators delete this Thread.
Let the dead rest in peace!!!
Moderators delete this Thread.
Let the dead rest in peace!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kudhani ni propaganda.
Kwaiyo hata El Adde Attack january 15, 2016 walio charangwa KDF zaidi ya 200 nayo utasema propaganda.
Akili mavi hizi!!!
Hahahaha, tokea KDF ijiingize Somalia,Kutoka Kenya tuingie Somalia.
1. Serikali ya Somalia imepata nguvu.
2. Uchaguzi nchini Somalia.
3. Economy ya Somalia imeendela pakubwa.
4. Mashambulizi nchini Somalia yamepungua pakubwa.
5. Mashambulizi Kenya yamepungua pakubwa.
6. Al shabaab zaidi ya 50,000 wameuliwa.
7. Al shabaab wamepunguzwa nguvu kwa zaidi ya asilimia 90.
8. Exports kutoka Kenya hadi Somalia zimeongezeka.
Sasa, Napoleone kimbelembele kutoka Jamiiforums ndiye ataskizwa, ama tutaskiza data?
Wadhani Wakenya ni waoga kama Watanzania?
Kama mnaweza tumia vichwa vyenu vizuri, sasa hivi mngekuwa investor wakubwa DRC.
Lakini Kenya ambayo hata haina border na DRC ndio inaongoza kwa biashara huko.
Hahahaha, tokea KDF ijiingize Somalia,
1) Wakenya zaidi ya 100,000 wsmeshapoteza maisha wakiwemo wanafunzi 150 wa Garisa University
2) Alshabab wameshambulia zaidi ya 100 attacks ndani ya Kenya
3)Wanajeshi zaidi ya 2000 wa KDF wameuliwa ndani ya Somalia.
4)Zaidi ya POLISI 800 wameuliwa kutokana na land mines na ambush attacks.
5) Kenya imekua listed kama among terrorist hot bed Worldwide
6)Mapato ya utalii na utalii kwa ujumla vimeathirika na wakenya wengi kupitoza ajira.
7)Kenya inaendelea kuwa katika kundi la dangerous countries due to terrorism.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na busara wewe watu wanajadili mustakbali wa watu. Kwa hiyo wale wasomali wanaouliwa kule unaona poa tumaumbwa koko nyinyi mnafurahia sana.
Apigwe ban huyu mbn mnamuacha anashabikia mauaji ya alshababSawa, tumekusikia dada mrangi
Kubali tu kuwa ile el Adde attack ilikua ni ambush moja ya kibabe sana.
KDF walichinjwa chinjwa kama kuku.