Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Bado kuna mijinga inafurahia Kuwepo kuleWazazi wake,familia yake,nđugu na jamaa zake wakimuona mpendwa wao anauwawa kinyama sijui wanapatwa na hali gan.very sad.
Hiyo video inasikuHapo juu nimeiweka.
maumbwa koko nyinyi mnafurahia sana.Kuna video inasaaba kwenye mitandao. Hiyo video ni ya kutisha. Askari wa kenya anauliwa kinyama mbele ya kamera.
Kabla ya kuuliwa askari huyo katoa malalamiko yake kuwa wanatakiwa waondoke Somalia.
Ninataka kujua ukweli. Kenya inafanya nini huko somalia!?
Askari kapigwa risasi live na akafa hapo hapo.
Eee Mungu uwape hekima viongozi wa africa.
Mmmmh mbona sijaelewa..mbwa Koko Ni kina Nani?mtoa maada?maumbwa koko nyinyi mnafurahia sana.
Mjinga na mpumbavu sana!! Unafurahia sasa. Umepost kwa sababu unafurahi. Tumia akili, wacha kutumia makalio kufikiria. Shenzi sanaKuna video inasaaba kwenye mitandao. Hiyo video ni ya kutisha. Askari wa kenya anauliwa kinyama mbele ya kamera.
Kabla ya kuuliwa askari huyo katoa malalamiko yake kuwa wanatakiwa waondoke Somalia.
Ninataka kujua ukweli. Kenya inafanya nini huko somalia!?
Askari kapigwa risasi live na akafa hapo hapo.
Eee Mungu uwape hekima viongozi wa africa.
Kuna video inasaaba kwenye mitandao. Hiyo video ni ya kutisha. Askari wa kenya anauliwa kinyama mbele ya kamera.
Kabla ya kuuliwa askari huyo katoa malalamiko yake kuwa wanatakiwa waondoke Somalia.
Ninataka kujua ukweli. Kenya inafanya nini huko somalia!?
Askari kapigwa risasi live na akafa hapo hapo.
Eee Mungu uwape hekima viongozi wa africa.
Wakenya vimbelembele na mmarekan kawaingiza mkenge wapigane vita yao,kwann wasitoke huko somalia,kujifanya manunda,hyo vita haitoisha,na kenya hawana hela ya vita hyo maana hua haiish,watapigana milele
Et kusaidia peace somalia,si muwaache wauaneee wenyew..
Sent using Jamii Forums mobile app
Anamanisha sisi watz
mkuu mbona kama umerukwa akili ,mtoa mada ni wapi kafurahia au wewe ni alshababiMjinga na mpumbavu sana!! Unafurahia sasa. Umepost kwa sababu unafurahi. Tumia akili, wacha kutumia makalio kufikiria. Shenzi sana