Kuna video inazunguka kuhusu askari wa kenya kuuawa kinyama somalia

Status
Not open for further replies.
Hahaha... Akili majimaji rebellion katika ubora wao!
Moderators delete this Thread.
Let the dead rest in peace!!!
 
Endelea kudhani ni propaganda.
Kwaiyo hata El Adde Attack january 15, 2016 walio charangwa KDF zaidi ya 200 nayo utasema propaganda.
Akili mavi hizi!!!

Ata Nairobi juzi wamesema wameua 47, ilhali haikufika hata nusu.
 
Hahahaha, tokea KDF ijiingize Somalia,
1) Wakenya zaidi ya 100,000 wsmeshapoteza maisha wakiwemo wanafunzi 150 wa Garisa University
2) Alshabab wameshambulia zaidi ya 100 attacks ndani ya Kenya
3)Wanajeshi zaidi ya 2000 wa KDF wameuliwa ndani ya Somalia.
4)Zaidi ya POLISI 800 wameuliwa kutokana na land mines na ambush attacks.
5) Kenya imekua listed kama among terrorist hot bed Worldwide
6)Mapato ya utalii na utalii kwa ujumla vimeathirika na wakenya wengi kupitoza ajira.
7)Kenya inaendelea kuwa katika kundi la dangerous countries due to terrorism.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wewe kukujibu ntakuwa nakosea heshima mamangu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…