Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
- #121
Mtu anakwambia hujawekeza, we masikini na unaongelea ujinga tu humu...!!!Watu humu wakiona mnadiscus nyeto & misambwana wanajua ni jobless wa 2015𤣠kumbe watu wana maisha yao na elimu imesimama kichwani
Hajui kuwa nipo sanaa tokea 2008 kwenye game ya ajira.
Ila poa tuuu
shadrackAmri
Wengine sisi ni kaka zako.
Unataka tuanze kujinadi humu ili iweje.
Hiyo Investing Vs Saving nilijufunza na naishi nayo tokea Bachelor, masters na mpaka sasa kwenye PhD.
Ila kwanini kutangaza, KUNA FAIDA GANI.
After all hela hazitaki kelele.
#YNWA