Kuna Video vixen ni watamu balaa, wananiumiza roho mwenzenu

Watu humu wakiona mnadiscus nyeto & misambwana wanajua ni jobless wa 2015🤣 kumbe watu wana maisha yao na elimu imesimama kichwani
Mtu anakwambia hujawekeza, we masikini na unaongelea ujinga tu humu...!!!

Hajui kuwa nipo sanaa tokea 2008 kwenye game ya ajira.
Ila poa tuuu
shadrackAmri
Wengine sisi ni kaka zako.

Unataka tuanze kujinadi humu ili iweje.
Hiyo Investing Vs Saving nilijufunza na naishi nayo tokea Bachelor, masters na mpaka sasa kwenye PhD.

Ila kwanini kutangaza, KUNA FAIDA GANI.

After all hela hazitaki kelele.

#YNWA
 
Nlikutana na mtu Moja humu 😁😁aisee watu wapo mbali wadiscus mada za kawaida tu
 
Hajataka kujua mafaniko yako, hajataka ushauri wako, kaandika matamanio yake...sio lazima kila mtu afanikiwe vile ulivyofanikiwa ww...!!!!
 

Uyo wa kwanza anaitwa naah milly nimeshakula ni x wangu…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…