Tajiri wa matajiri
Senior Member
- Apr 17, 2024
- 166
- 649
Taarifa fupi ya tukio la Ajali ya Moto iliyotokea nyumbani kwa mtumishi Zuberi Hassani Msemo
Jambo afande.
Naomba mpokee taarifa hii ambayo imewasilishwa kwa afande CC pia kwa taarifa yenu pia.
Waliofariki
1. Mariam Zuberi Msemo - 1st Born
2. Salma Zuberi Msemo - 2nd Born
3. Bisma Zuberi Msemo - 3rd Born
Majeruhi
1. Zuberi Hassani Msemo - Mtumishi
2. Mussa Hassani Msemo - Mdogo wa Mtumishi
3. Mariam Mussa Zarawanga - Mama Mzazi wa Mtumishi
4. Jasmin Khatibu Msuya - Mke wa Mtumishi
5. Mwanaidi Aldin Mussa - Dada wa Mtumishi
6. Esther - Dada wa Kazi
7. Abdulkarim Ramadhani Mrindoko - Mtoto wa Kaka wa Mtumishi
8. Firdaus Zuberi - Mtoto Mchanga wa Mtumishi
Chanzo cha moto kwa mujibu wa Idara ya Jeshi la Zima Moto Arusha inafikiriwa kuwa ni laptop au simu iliyokuwa inachajiwa kwenye sofa kupata moto na kuunguza sofa na moto huo kuenea maeneo mengine katika nyumba.
Mtumishi pamoja na mdogo wake wa kiume wameungua sehemu kubwa na hali zao sio nzuri wanaendelea kupatiwa huduma ya mtungi wa oxygen na majeruhi wengine wamevuta moshi mwingi nao wanaendelea kupatiwa huduma ya dharura katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha Mount Meru.
Marehemu wamehifadhiwa katika chumba cha maiti hospitalini hapo.
Msiba upo Soko Mjinga Matejo.
Tunawaombea majeruhi wapone mapema na marehemu roho zao zipumzishwe kwa amani. Amina.
Poleni wafiwa
Wakuu Kuna majanga mengi Sana yanaosababishwa na moto and how people ambaye anavuta smoke au hewa ukaa wengi wanakufa ni hivi:
Pindi yatokeapo majanga ya moto most of time lazima kutokea kwa moto ule moto unazalisha hewa ya ukaa ambayo mostly ni carbonimonoxide na Unajua kwenye miili yetu Kuna kitu inaitwa haemoglobin Hii ni carrier transporter na pia Kuna oxygen ambayo inasafirishwa na haemoglobin Sasa Hii carbonimonoxide ina high infinity kuliko oxygen kwa maana ina nguvu kuliko oxygen ikikutana na haemoglobin so haemoglobin Ukiwa imebeba oxygen na wakati huo wewe umevuta carbon monoxide Ile bond Kati ya oxygen na haemoglobin inavunjika inaungana so haemoglobin inaenda kukutana na carbonimonoxide( hewa ukaa) Hii inaenda kudestoy airways na Lung( mapafu) inapelekea mtu kushindwa kupumua kwa sababu vipitisha hewa(airways) na mapafu( lungs) yameharibiwa na hewa ukaa( carbonimonoxide) Hii inapelekea later mtu kupoteza maisha
Nesi mkunga