Kuna vifo vingine vinasababishwa na moto na kuvuta hewa ukaa. Jeshi la zimamoto uokoaji na wadau wengine tutoe Elimu kwa wananchi

Kuna vifo vingine vinasababishwa na moto na kuvuta hewa ukaa. Jeshi la zimamoto uokoaji na wadau wengine tutoe Elimu kwa wananchi

Tajiri wa matajiri

Senior Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
166
Reaction score
649
Taarifa fupi ya tukio la Ajali ya Moto iliyotokea nyumbani kwa mtumishi Zuberi Hassani Msemo


Jambo afande.

Naomba mpokee taarifa hii ambayo imewasilishwa kwa afande CC pia kwa taarifa yenu pia.

Waliofariki
1. Mariam Zuberi Msemo - 1st Born
2. ⁠Salma Zuberi Msemo - 2nd Born
3. ⁠Bisma Zuberi Msemo - 3rd Born
Majeruhi
1. Zuberi Hassani Msemo - Mtumishi
2. ⁠Mussa Hassani Msemo - Mdogo wa Mtumishi
3. ⁠Mariam Mussa Zarawanga - Mama Mzazi wa Mtumishi
4. ⁠Jasmin Khatibu Msuya - Mke wa Mtumishi
5. ⁠Mwanaidi Aldin Mussa - Dada wa Mtumishi
6. ⁠Esther - Dada wa Kazi
7. ⁠Abdulkarim Ramadhani Mrindoko - Mtoto wa Kaka wa Mtumishi
8. ⁠Firdaus Zuberi - Mtoto Mchanga wa Mtumishi

Chanzo cha moto kwa mujibu wa Idara ya Jeshi la Zima Moto Arusha inafikiriwa kuwa ni laptop au simu iliyokuwa inachajiwa kwenye sofa kupata moto na kuunguza sofa na moto huo kuenea maeneo mengine katika nyumba.

Mtumishi pamoja na mdogo wake wa kiume wameungua sehemu kubwa na hali zao sio nzuri wanaendelea kupatiwa huduma ya mtungi wa oxygen na majeruhi wengine wamevuta moshi mwingi nao wanaendelea kupatiwa huduma ya dharura katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha Mount Meru.

Marehemu wamehifadhiwa katika chumba cha maiti hospitalini hapo.

Msiba upo Soko Mjinga Matejo.

Tunawaombea majeruhi wapone mapema na marehemu roho zao zipumzishwe kwa amani. Amina.

Poleni wafiwa

Wakuu Kuna majanga mengi Sana yanaosababishwa na moto and how people ambaye anavuta smoke au hewa ukaa wengi wanakufa ni hivi:

Pindi yatokeapo majanga ya moto most of time lazima kutokea kwa moto ule moto unazalisha hewa ya ukaa ambayo mostly ni carbonimonoxide na Unajua kwenye miili yetu Kuna kitu inaitwa haemoglobin Hii ni carrier transporter na pia Kuna oxygen ambayo inasafirishwa na haemoglobin Sasa Hii carbonimonoxide ina high infinity kuliko oxygen kwa maana ina nguvu kuliko oxygen ikikutana na haemoglobin so haemoglobin Ukiwa imebeba oxygen na wakati huo wewe umevuta carbon monoxide Ile bond Kati ya oxygen na haemoglobin inavunjika inaungana so haemoglobin inaenda kukutana na carbonimonoxide( hewa ukaa) Hii inaenda kudestoy airways na Lung( mapafu) inapelekea mtu kushindwa kupumua kwa sababu vipitisha hewa(airways) na mapafu( lungs) yameharibiwa na hewa ukaa( carbonimonoxide) Hii inapelekea later mtu kupoteza maisha

Nesi mkunga
 
MUOMBE MUNGU TU KUKUWEKA SALAMA.MAJANGA MENGINE HATA ZIMAMOTO HAWEZI KUKUSAIDIA.
WE ULITEGEMEA LAPTOP KULIPUKA NA KUUNGUA
 
Weken fire extinguisher majumbani kwenu
Unaweka nyumba grill kali aluminium kali geti la kufa mtu unashindwa kuweka emergency room or emergency exit special for fire or other risk
 
Pole kwa ndugu zangu watanzania.

Samahani mkuu, hivi kama madhara husababishwa na hewa ya kitu kilichoungua, vipi kuhusu hawa ndugu zetu wavuta bange na sigara, nao si wanavuta hewa ukaa? Ama niaje hebu nipe darasa kidogo
 
Inaumiza sana.
Ila kuna kitu nimekiona kutoka kwenye hiyo taarifa,nayo ni idadi kubwa ya watu kulala ndani ya nyumba moja.

Labda kama zilishika moto nyumba mbili zilizokuwa karibu sana lkn iweje moto ulete madhara makubwa ndani ya nyumba moja halafu walioko nyumba ya pili wasichukue tahadhari?

Unaweza ukaona kuwa walikuwa wamelala ndani ya nyumba moja.
Tujari kujigawa wakati wa kulala kama ambavyo itupasavyo kujigawa wakati wa kusafiri.
 
The
Pole kwa ndugu zangu watanzania.

Samahani mkuu, hivi kama madhara husababishwa na hewa ya kitu kilichoungua, vipi kuhusu hawa ndugu zetu wavuta bange na sigara, nao si wanavuta hewa ukaa? Ama niaje hebu nipe darasa kidogo
Same lakini air smoke kwenye sigara inadestroy vipitisha hewa(airways) na alveoli ambayo inasaidia kupitisha hewa kwenda kwenye mapafu The same but tofauti na air smoke ya moto wa majumbani inazalisha hewa nyingi ya ukaa kama carbonimonoxide na cyanide kwa uwingi zaidi.
 
Back
Top Bottom