Kuna vijana kama mimi ambao hatuna mitaji ila tuna akili ya biashara na tuna mawazo ya biashara

Kuna vijana kama mimi ambao hatuna mitaji ila tuna akili ya biashara na tuna mawazo ya biashara

Nadhani mwenye mawazo na akili atafute mtaji, na mwenye mtaji atafute mawazo.
Habari Kiongozi pole na majukumu naomba msaada wenu Kama kuna anaefahamu kuchenjua copper ore kwa njia ya kienyeji ili nipate SHABA au njia rahisi ya kuchenjua copper ore ili nipate SHABA Natanguliza shukran zangu
 
Nitumie namba yako PM nikupigie.
 
Mtakubaliana vizuuri...Biashara ikikubali aliye toa wazo atataka kuwa kama mwenye mtaji na mwishowe kuhisi yeye ndiyo mwenye biashara bila yeye mwenyemtaji asingepata hiyo faida..
Mambo mengine zaidi yataendelea.
Ndomaana wenye mtaji wanaungana wao kwa wao na kuajiri wenye mawazo
Wahenga walio sema maskini akipata matako hulia pwaaa kibongo bongo walikosea???
 
Back
Top Bottom