Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Hakuna msimamizi wa maisha yako isipokuwa ni wewe mwenyewe. Unachokionesha Kwa kujua au kutojua ndicho watu wanachokiona. Siyo lazima watu wakuone kama unavyojiona ila ni lazima watu wakuone sawa na wanavyoona wao kulingana na wanachokiona.
Mtu mwenye macho yenye hitilafu siyo lazima aone kama wenye macho mazima. Wengine wanaokuona wana matatizo ya macho yao usijali huenda hilo likawa siyo tatizo lako. Ila jiulize tu mwenyewe wewe unajionaje?
......ova...