Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Wapi?Vipi nini kimetokea huko
Nani amewafundisha kuonekana hapa?..Hatutaki mtufundishe kuhusu tunaonekanaje au hatuonekani vipi tunataka mtuambie nyinyi mnapata wapi hela!,tumechoka na mahubiri yenu na inavyoonyesha mweka mada umekutana na tusi zito huko! au nasisi tukufundishe namna yakutunza vitu... ulishawahi kuitwa peremende wewe..🤣
usijaribu kuwa serious sana hapa utaumia bure ndugu!Nani amewafundisha kuonekana hapa?..
Mkuu jaribu kuwa mstaarabu, sina maneno laini ya kukuambia zaidi ya kusema siyo lazima usome na kuchangia Kila kinanachoandikwa, ukiona hakuna maana kipuuzie endelea na masuala mengine.
Am inspirational hater....I do as my mind instruct me to do.Hakuna msimamizi wa maisha yako isipokuwa ni wewe mwenyewe. Unachokionesha Kwa kujua au kutojua ndicho watu wanachokiona. Siyo lazima watu wakuone kama unavyojiona ila ni lazima watu wakuone sawa na wanavyoona wao kulingana na wanachokiona.
Mtu mwenye macho yenye hitilafu siyo lazima aone kama wenye macho mazima. Wengine wanaokuona wana matatizo ya macho yao usijali huenda hilo likawa siyo tatizo lako. Ila jiulize tu mwenyewe wewe unajionaje?
......ova...
Hakika..sijamind Mkuu na sijawahi kuitwa peremende aiseeusijaribu kuwa serious sana hapa utaumia bure ndugu!
pili sijatukana mtu hapa au umemind..??
easy like this okay enjoy your day...Hakika..sijamind Mkuu na sijawahi kuitwa peremende aisee
🤣🤣🤣Vipi nini kimetokea huko
Wow! You too Brethren..feel fantansy and simulating day ever noted before.easy like this okay enjoy your day...