Kuna viongozi na watumishi ambao bado wanaweza kuwafanya Watanzania na wawekezaji wasiwe na imani na Serikali ya Rais

Kuna viongozi na watumishi ambao bado wanaweza kuwafanya Watanzania na wawekezaji wasiwe na imani na Serikali ya Rais

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Niseme kwamba kuna viongozi na watumishi ambao bado Watanzania na wawekezaji wanaweza wasiwe na imani na serikali ya Rai Samia Suluhu, uliza kwanini.

1. Namna walikuwa wakisimamia na kutunga sheria za kodi, Habari na walikuwa hawako tayari kulinda haki za binadamu.

2. Manyanyaso ya wananchi, wafanya biashara na wawekezaji wao wanaonekana walikuwa viongozi na waliliona hilo huenad walihusika kwa namna moja au nyingine kupitia watumishi wao wa ngazi za chini.

Niwataje kwa kifupi:

1. DPP
2. Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa
3. Makamu wa Rais Mpango, Kamishna TRA na Mwipwa wa MEKO aliyekuwa Hazina: Unyanganyi kwenye mabenki, ofisi za kubadili fedhana kutoza kubamiza watu kodi
4. IGP simon Sirro
5. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Mkurugenzi wa Uchaguzi na Team yake.

Hichi kikosi kama bado kipo kwenye mfumo, imani na chama cha mapinduzi bado ni ndoto sana maana kuna mengi sana watu hawata yasahau sasa watu wanahisi huenda yatajirudia.

Kati ya watu ambao waliumiza sana watanzania wote hawa wamo maana walishirikiana na team zao. Rais akiwaondoa na kuweka team mpya hata kama Makamuw ake atabaki ila atakosa ushirikiano ila pia kama Makamu wake ataunda team mpya ili warudie makosa yale basi Tanzania itakuwa imerudi nyuma zaidi.
 
Back
Top Bottom