Kuna viongozi Vilaza sana Yanga. Hawa wanaiaibisha Club yetu Kongwe

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Hii akili ya wapi? Ni akina nani wanamtuma Kubwa Jinga Mwakalebela kwa suala la Morrison?

Yanga wamepita wachezaji wangapi wakaondoka team ikabaki? Kwa nini Morrison anaonekana kututesa sana mioyo? Fredrick Mwakalebela hivi hutumii hata akili za kawaida?

Mkataba wa Morrison na Simba wewe unakuhusu nini? Aliyelalamika kwa Mkataba wa Morrison na Yanga alikuwa ni Morrison mwenyewe siyo Simba.

Sasa kama mkataba walioingia Simba na Morrison una mapungufu wewe Yanga inakuhusu nini? Anatakiwa alalamike Simba au Morrison.

Kwa nini Nyie Viongozi mnataka mwisho Yanga wote tuonekane hatuna akili? Acheni hizo bwana. Tusifunike mambo ya team yetu kwa kuibua suala la Morrison ambalo tayari lilishatufanya tuonekane vilaza.

Badala ya kukomaa team yetu itulie, tuwekeze nguvu zaidi kuijenga bado tunampambania Morrison ambaye hatutaki. Mimi wakati mwingine najisikia aibu sana. Mwishowe sote Yanga tutaonekana ni wapumbavuh.
 
Mpumbavu ni wewe mwenyewe ambae hujui kuwa suala la ulinzi wa sheria ni la kila raia, sio lazima awe k iongozi. Sheria za kazi zimechezewa we unaona sawa tu. Pia kanuni za tff, zinaruhusu pingamizi.
Kwani yanga wameupataje huo mkataba
 
Anaitwa Frederick Mwakalebela, huyu hajawahi kucheza mpira labda chandimu huko Mtwivila, sio David Mwakalebela, David Alikuwa beki mahiri sana Wa Pamba ya Mwanza kisha Yanga na team ya Taifa Taifa Stars
Eti huko Mtwivila hahahshh wwe jamaa umenichekesha..nilikaa sana Hapo mahali 5 yrs ago
 
Wewe unaonekana ni simba maana bandiko lako limeegemea kuachwa kwa huruma , hakika Yanga hatuko tayari kuburuzwa na TFF lazima haki itendeke na tuwafunze adabu na kuacha kuzichezea sheria zetu.
 
Mpumbavu ni wewe mwenyewe ambae hujui kuwa suala la ulinzi wa sheria ni la kila raia, sio lazima awe k iongozi. Sheria za kazi zimechezewa we unaona sawa tu. Pia kanuni za tff, zinaruhusu pingamizi.
Pingamizi Lina time line na deadline ya pingamizi imeisha pita
 
Mwenyewe nilipomuona anajenga ile hoja nikawa kama sijamuelewa. Ilibidi nirudie kusikiliza tena. Utopolo ni utopolo tu siku zote
 
Utopolo nyie mnatakaje kwan? Tatizo mnamfatilia mtu ambae hawezi kucheza utopoloni tena,,hata kwa fimbo za uchi hawez cheza kwenye njaa
 
Huyo fala kashapewa mshiko na exposure ambayo hajawahi kuwa nayo. Lazima tumng'ang'anie kama luba. Hata mimi nilitaka Yanga iachane nae, lakini hapana jamaa ana nyodo sana.
 
Duh...David Mwakalebela!!!!?? Halafu unamkejeli mwenzio eti kubwa jinga!! Duh
 
Yani kuhusu ili swala la Morison sisi Yanga ndo tunazidi kuonekana matahira tena mazezeta kabisa,mandondocha vilaza tunaakili za kuvukia barabara tu.

Viongozi wetu walituambia wataenda ngazi zajuu badala yake bado wanazurula tu kwenye media.
kwanini sisi Yanga kilamwaka tunahujumiwa na viongozi wetu?
 
Sheria zifuatwe, mwenye haki apewe haki yake. Waliovuruga suala la morrison ni tff thimba, walifanya umafia ambao haukubaliki kisoka, sasa acha sheria ichukue mkondo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…