rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Hakuna mkataba unaoonekana ndiyo maana Morison alipokuja alicheza mechi za mwanzo bila kuwa na mkatabaKwenye TMS mikataba yote ya wachezaji inaonekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mkataba unaoonekana ndiyo maana Morison alipokuja alicheza mechi za mwanzo bila kuwa na mkatabaKwenye TMS mikataba yote ya wachezaji inaonekana
Tulia uone kitakachomtokea Bodaboda FCCAS na FIFA WANASEMAJE? NYIE NDO MNASABABISHA TUITWE UTOPOLO. BM TUMEMKOSA NA SASA ATATUKERA ZAIDI.
Msolla ana PhD acheni nyie.Eymael alieleza ukweli pale yanga hakuna viongozi pia hata elimu ya Msolla ina walakini na wote hao waliwahi kuwa waajili wa tff
Watamuelewa tu, wanadhani kupayukapayuka kwa kina manara ndo kuendesha timu kiuwelediMsolla ana PhD acheni nyie.