Kuna viongozi Vilaza sana Yanga. Hawa wanaiaibisha Club yetu Kongwe

Kuna viongozi Vilaza sana Yanga. Hawa wanaiaibisha Club yetu Kongwe

Kitu ambacho manyani fc hawaelewi ni kwanza kipindi cha mapingamizi wakati wa usajili kimeshapita na sheria inasema pingamizi lolote litakaloletwa nje ya muda litatupwa.
Jambo jingine iwapi itabainika simba ni kweli walimchezesha mchezaji akiwa na mapungufu ya kimkataba Simba atatozwa faini katibya shilingi laki tano hadi shilingi milioni tatu lakini matokeo ya uwanjani hayatabadirishwa.
Jambo kubwa litakalompata Mwakalebela iwapi itabainika huo mkataba wa simba na Morison umefikafikaje mkononi mwake wakatibyeye hausiki hapo ana kesi ya kimaadili bila kujali simba wana kosa au la mwisho itaonekana Senzo aliwapatia password na mikataba ya simba hapo ndio utakuwa mwisho wa senzo na huenda kwa scandal hiyo atakuwa kajimaliza.
Yote kwa yote utopolo wasahau Simba kunyang'anywa pointi za mechi zilizopita
 
Back
Top Bottom