Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Je,
ni kwasababu ya kuhoji matumizi ya fedha na kuibua mashaka dhidi ya upigaji wa fedha za mabwenyenye ya magharibi na zile ambazo huchangishwa kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa?
Na je tutegemee kuona mafarakano ya kisiasa ndani ya chadema taifa katika muda usiokua mrefu sana ujao?
Na,
ni kwanini suala la upigaji pesa ndani ya chadema limekua kama utamaduni wao wa kawaida tu?
Kwa kinachoendelea chini kwa chini kuhusu upigaji wa pesa za chama, unadhani viongozi wa chadema taifa watatoka salama kwenye jambo hili au tutegemee kuona wakigawana fito, vijembe na kutwezana utu mitandaoni na kwenye vyombo vya habari?
Nadhani ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra kwenye jambo hili, au una ushauri gani kama mdau wa siasa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania