Kuna viongozi wa chadema taifa, hawaangaliani macho kwa macho hivi sasa, wanaogopana na kuviziana, unadhani ni kwanini?

huko nako hawaangaliani macho kwa macho kama Chadema?🐒

Kama ccm ndio kabisa, hata kukaribiana tu hamna, I think kuna something wrong somewhere,

Kwenye kamati kuu juzi kila mtu anaangalia pembeni
 
Je,
ni kwasababu ya kuhoji matumizi ya fedha na kuibua mashaka dhidi ya upigaji wa fedha za mabwenyenye ya magharibi na zile ambazo huchangishwa kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa?

Na je tutegemee kuona mafarakano ya kisiasa ndani ya chadema taifa katika muda usiokua mrefu sana ujao?

Na,
ni kwanini suala la upigaji pesa ndani ya chadema limekua kama utamaduni wao wa kawaida tu?

Kwa kinachoendelea chini kwa chini kuhusu upigaji wa pesa za chama, unadhani viongozi wa chadema taifa watatoka salama kwenye jambo hili au tutegemee kuona wakigawana fito, vijembe na kutwezana utu mitandaoni na kwenye vyombo vya habari?

Nadhani ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra kwenye jambo hili, au una ushauri gani kama mdau wa siasa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Screenshot_20260404-111943~2.png
 
Just relax mama naa,
hivi Nasra ana umri gani sasa hiv?

pesa zinawafanya jamaa wasitazamane macho kwa macho, sijui itakuaje mbeleni 🐒
Deal na ccm irudishe Imani ya Wananchi waache kutegemea Polisi na kuiba uchaguzi pia wapunguze upigaji na 10%
 
Mama Naa,
zidisha Imani kwa Mugu pekee Mama Naa, acha kufuru na kuamini ushirikina.

Polisi wataendelea kufanya kazi ya kuwalinda raia, mali na makazi ya bila kuchoka wala kupunguza spidi.

kuhusu uchaguzi,
huenda CCM ikashinda uchaguzi mkuu 2030 kwa 100% ikiwa mapenzi ya waTanzania wote kwa CCM itaendelea kuongeza mara dufu kama ilivyo sasa.

Lakini hayo sio muhimu,
hivi ni kwanini viongozi wa chadema taifa wanapigana cold war na hawaangaliani macho kwa macho?
Ni kwasababu ya upigaji wa pesa tu au kuna lingine?

Kwako Mama Naa🐒
 
Kama ccm ndio kabisa, hata kukaribiana tu hamna, I think kuna something wrong somewhere,

Kwenye kamati kuu juzi kila mtu anaangalia pembeni
ni mgao usiolingana wa upigaji wa pesa zinazochangwa na wananchi kwenye mikutano ya hadhara kama Chadema au huko ikoje gentleman?🐒
 
Yah uko sahihi ni mambo ya ela na upigaji tu, maana kuna wengine wamezimana 10% ya uwanja wa mbuga gani sijui dah

Mambo ya hela haya bwana sio poa
 
Mambo yao waachie wenyewe
hayo sio mambo yao wenyewe ndugu mdau,
hayo ni mambo ya umma wa waTanzania wote kwasababu taasisi zilizowapa dhamana ya kua viongozi ni za umma,

so,
kama wananchi tuna haki na wajibu wa kuwahoji, kuwasema, kuwashauri na kwakweli kuwakosoa na ikibidi kuwakemea kadiri inavyowezekana na kulingana na itakavyo faa, okay?🐒
 
Unaamka asubuhi na kutunga uongo. CHADEMA imewaachia Kila kitu ila bado mnahangaika nayo. Very stupid
 
ikiwa ni uongo na stupid,
si ueleze ukweli basi na ingependeza zaidi gentleman, kuliko kumbwelambwela nonsense na mihemko useless jukwaani?🐒
 
hayo sio mambo yao wenyewe ndugu mdau,
hayo ni mambo ya umma wa waTanzania wote kwasababu taasisi zilizowapa dhamana ya kua viongozi ni za umma,

so,
kama wananchi tuna haki na wajibu wa kuwahoji, kuwasema, kuwashauri na kwakweli kuwakosoa na ikibidi kuwakemea kadiri inavyowezekana na kulingana na itakavyo faa, okay?🐒
Okay
 
Je,
ni kwasababu ya kuhoji matumizi ya fedha na kuibua mashaka dhidi ya upigaji wa fedha za mabwenyenye ya magharibi na zile ambazo huchangishwa kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa?

Na je tutegemee kuona mafarakano ya kisiasa ndani ya chadema taifa katika muda usiokua mrefu sana ujao?

Na,
ni kwanini suala la upigaji pesa ndani ya chadema limekua kama utamaduni wao wa kawaida tu?

Kwa kinachoendelea chini kwa chini kuhusu upigaji wa pesa za chama, unadhani viongozi wa chadema taifa watatoka salama kwenye jambo hili au tutegemee kuona wakigawana fito, vijembe na kutwezana utu mitandaoni na kwenye vyombo vya habari?

Nadhani ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra kwenye jambo hili, au una ushauri gani kama mdau wa siasa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Taarifa yoyote kutoka kwa nonsense tlaatlaah juu wabaya wake ni useless na blaaablaa kama lilivyo jina lake.

Ni muhimu ipuuzwe na kutupwa kama taarifa zingine za kizushi na uzandiki
 
haya sawa,

umeshatoa maonini yako huru,
tuliza mihemko na kurelax sasa gentleman na itapendeza zaidi, okey? :1Head:
 
Viongozi wakuu wa CCM chura aka kizimkazi na Nchimbi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom