Kuna viongozi wanahujumu mitandao makusudi ili watu wasilipe nauli na faini kwa mitandao

Kuna viongozi wanahujumu mitandao makusudi ili watu wasilipe nauli na faini kwa mitandao

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Hii tumeshaiona kwenye mabasi ya Mwendo kasi, faini za traffic na za mabasi. Wanaharibu mitandao makusudi ili usiweze kulipa faini kwa mitandao au kununua ticket za card ili tu ukienda kulipa kwa pesa wanabaki nayo halafu haiendi serikalini.

Tatizo kubwa watu wanafahamu hili na wananyamaza!!!
 
Hii tumeshaiona kwenye mabasi ya mwendo kasi, faini za traffic na za mabasi. Wanaharibu mitandao makusudi ili usiweze kulipa faini kwa mitandao au kununua ticket za card ili tu ukienda kulipa kwa pesa wanabaki nayo halafu haiendi serikalini. Tatizo kubwa watu wanafahamu hili na wananyamaza!!!
Wamesikia.
 
Back
Top Bottom