Kuna vita ya kimfumo dhidi ya wanaume

Kuna vita ya kimfumo dhidi ya wanaume

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
1. Kwenye elimu anapewa kipaombele mwanamke, hili liko wazi kabisa hata kwenye mifumo ya chuo ya admission.

2. Kwenye ajira ni sera yao kabisa kua mwanamke anapewa kipaombele, hili sio la kuficha

3. Hata katika kuwezesha hulu mtaani, ni wanawake. Mfano kuna program nyingi zinazolenga kumuinua mwanamke, na si vijana kwa ujumla

Lengo la haya yote ni nini? Kwanini wanaume wanatengwa?
 
Lakini yote haya unayoyaona vita yake iko katika kitabu cha
Genesis 3:15
And I will put enmity between thee and the woman, and between thy seed and her seed; it shall bruise thy head, and thou shalt bruise his heel.
nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino.
 
Mkuu ukishazaliwa mwanaume kwako maisha ni vita hutakiwi kulialia

Ukishakuwa mwanamume kumbuka hili;

No one cares about your struggles, pain or hustles, they only care about your SUCCESS

Sasa wewe pambania hapo kwenye SUCCESS
 
Mkuu mwanaume ni kiumbe tishio katika ulimwengu wa roho hata awe hasali, kikubwa awe kwenye nafas yake.

Sasa ukweli uliopo nkwamba mwanamke ndiyo mlango wa kumwingia au kumwangusha mwanaume.
Hivyo adui anampga mwanaume kupitia mwanamke.
kwenye bible kuna mahala kwenye kitabu cha Isaya imeandikwa juu ya Mungu kumpa mwanamke uwezo au jukumu la kumlinda mumewe.

Hapo utaona jinsi gani ilivyo rahisi mme kuangushwa kupitia mke(mlinzi) wake.
Kiufupi wanawake wengi ni wauaji wa wanaume , au waume zao kwa kujua au pasipo kujua, kwakuwa wanawatazama wanaume katika mtazamo wa shetani/dunia na sio Mungu.
Tujilinde kadri tuwezavyo wakuu we are heading to distinction tuache ulimbuken, kujipendekeza, upumbavu wa kuwalidhisha wanawake dhidi ya matakwa yao, maana mengi ya wanayo hitaji hayatokani na utimamu wa akili zao ila hadaa ya ibilisi.

Au niseme kwamba their mind has hacked by darkness(tukumbuke issue ya Eva kwa Adam baada ya shetani kuhack akili ya Eva).
 
1. Kwenye elimu anapewa kipaombele mwanamke, hili liko wazi kabisa hata kwenye mifumo ya chuo ya admission.

2. Kwenye ajira ni sera yao kabisa kua mwanamke anapewa kipaombele, hili sio la kuficha

3. Hata katika kuwezesha hulu mtaani, ni wanawake. Mfano kuna program nyingi zinazolenga kumuinua mwanamke, na si vijana kwa ujumla

Lengo la haya yote ni nini? Kwanini wanaume wanatengwa?

Nchi za Mabeberu wamedhamiria kwa dhati kurudi kuitawala Afrika kivingine.

Lengo ni kuja kuuza mpaka stendi za mabasi na masoko kwa wageni ili wakusanye ushuru.
Wanawake wameshauza bandari na viwanja vya ndege na ardhi yote muhimu ?

Wazungu waliwaza mbali sana ?

Mwanamke akipelekwa China akaonyeshwa gari linalopaa angani anachabganyikiwa na kuwaza kuwaleta wachina wote kuja kujaza dunia na teknolojia yao bila kujali watoto wa jirani wataishi je 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu mwanaume ni kiumbe tishio katika ulimwengu wa roho hata awe hasali, kikubwa awe kwenye nafas yake.

Sasa ukweli uliopo nkwamba mwanamke ndiyo mlango wa kumwingia au kumwangusha mwanaume.
Hivyo adui anampga mwanaume kupitia mwanamke.
kwenye bible kuna mahala kwenye kitabu cha Isaya imeandikwa juu ya Mungu kumpa mwanamke uwezo au jukumu la kumlinda mumewe.

Hapo utaona jinsi gani ilivyo rahisi mme kuangushwa kupitia mke(mlinzi) wake.
Kiufupi wanawake wengi ni wauaji wa wanaume , au waume zao kwa kujua au pasipo kujua, kwakuwa wanawatazama wanaume katika mtazamo wa shetani/dunia na sio Mungu.
Tujilinde kadri tuwezavyo wakuu we are heading to distinction tuache ulimbuken, kujipendekeza, upumbavu wa kuwalidhisha wanawake dhidi ya matakwa yao, maana mengi ya wanayo hitaji hayatokani na utimamu wa akili zao ila hadaa ya ibilisi.

Au niseme kwamba their mind has hacked by darkness(tukumbuke issue ya Eva kwa Adam baada ya shetani kuhack akili ya Eva).
Uzuri wake 98% ya wanaume hawawezi kuishi; kwa namna moja au nyingine bila kuwa na uhusiano na mwanamke!!! Patamuuuuuu!!!!
 
1. Kwenye elimu anapewa kipaombele mwanamke, hili liko wazi kabisa hata kwenye mifumo ya chuo ya admission.

2. Kwenye ajira ni sera yao kabisa kua mwanamke anapewa kipaombele, hili sio la kuficha

3. Hata katika kuwezesha hulu mtaani, ni wanawake. Mfano kuna program nyingi zinazolenga kumuinua mwanamke, na si vijana kwa ujumla

Lengo la haya yote ni nini? Kwanini wanaume wanatengwa?
Mleta mada una ndugu au watoto wa kike?
 
Back
Top Bottom