Kama mimi hapa last month nilipokuwa safarini kwenda kukutana na mpenzi wangu wa zamani. Mwanamke tuliachana toka 2008 ila tuliendelea kuwasiliana. Tukaamua tukutane kaa Malkia, japo safari yangu toka napoishi ni masaa mawili na nusu, nilihisi kama ni masaa saba aisee.
Akili ilikuwa inawaza mambo mengi mnooo. At the end of the day, we had really good time in London na penzi kurudishwa.