Kuna vitaswira fulani hivi huja kichwani ukiwa unaenda kwa mtoto wa mtu uliyemiss sana

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Kuna vitaswira fulani hivi huja kichwani ukiwa unaenda kwa mtoto wa mtu uliyemiss sana💞

1731129115751.jpg

Unawaza hiki na kile, unawaza ukifika na....🙌🏿

Yawezekana na wewe muda huu uko njiani, unajiandaa kwenda au umeshafika tayari kwa mtoto wa mtu na tayari umesha... tayari 😀🙌🏿
 
Kama mimi hapa last month nilipokuwa safarini kwenda kukutana na mpenzi wangu wa zamani. Mwanamke tuliachana toka 2008 ila tuliendelea kuwasiliana. Tukaamua tukutane kaa Malkia, japo safari yangu toka napoishi ni masaa mawili na nusu, nilihisi kama ni masaa saba aisee.

Akili ilikuwa inawaza mambo mengi mnooo. At the end of the day, we had really good time in London na penzi kurudishwa.
 
Hongera sana
 
Back
Top Bottom