Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Kuna vitaswira fulani hivi huja kichwani ukiwa unaenda kwa mtoto wa mtu uliyemiss sana💞
Unawaza hiki na kile, unawaza ukifika na....🙌🏿
Yawezekana na wewe muda huu uko njiani, unajiandaa kwenda au umeshafika tayari kwa mtoto wa mtu na tayari umesha... tayari 😀🙌🏿