Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 820
- 1,505
Ulichoelezea ndo ulichoandika. Imenifurahisha hii.Wote tukifuata hayo uliyoyasema maana ya maisha inapotea.
Maisha ni mjumuisho wa furaha,huzuni,majuto, maumivu nk

Umezingua.Namba 1, 6 na 7 havina maana.
Ila nimesikitika sana ulivosema inasikitisha sana.Hii mada inafunza sana
🔥🔥🔥🔥🔥🤝🏾🤝🏾Kuna vitu 7 ukivipuuzia sasa, baadaye utajilaumu sana:
1. Mahusiano na Familia
Ukiwa na pesa zote duniani lakini familia yako imevunjika, nyumba yako ni tupu. Weka muda kwa mke/mume, watoto, wazazi sasa. Baadaye watoto wanakua na wanasahau wewe.
2. Afya
Kula hovyo, kulala kidogo, kufanya mazoezi sifuri. Utajenga pesa ukaharibu mwili. Baada ya miaka 40 ndio unaelewa "afya ni utajiri". Jenga tabia ya mazoezi, chakula safi, na check-up.
3. Amani ya Akili
Kukimbilia kila kitu, hasira, wivu, mitandao ya kijamii 24/7. Utajenga nyumba ya stress. Jenga tabia ya kutulia, kuomba/sala, na kupunguza kelele za kichwani.
4. Akiba na Uwekezaji
Kutumia kila shilingi unayopata. Ukifika 45-50 na huna chochote, utajilaumu. Jenga tabia ya kuweka hata 10% ya mapato yako. Pesa ndogo zinazowekwa leo ndizo zinakuwa mlima kesho.
5. Ujuzi na Elimu
Kusimama mahali pamoja kielimu na kiujuzi. Dunia inabadilika haraka. Jenga tabia ya kujifunza kitu kipya kila mwezi - lugha, computer, biashara, ufundi.
6. Heshima na Jina Zuri
Udanganyifu, uongo, ufisadi vinajenga pesa za haraka lakini zinabomoa jina lako. Mara tu jina lako linaharibika, hata ukiwa na pesa hakuna anayekuamini. Jenga uaminifu sasa.
7. Uhusiano na Mungu
Watu wengi wanakumbuka Mungu wanapokuwa pabaya tu. Jenga msingi wa kiroho sasa ili uwe na mwelekeo na amani hata dhoruba ikikuja.
---
Kanuni rahisi: Kila siku jiulize "Ninajenga nini leo ambacho nitashukuru nikiwa na miaka 60?".
Ahsante sanaKuna vitu 7 ukivipuuzia sasa, baadaye utajilaumu sana: