Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Hongera mkuuKiukweli Mke wangu kanizidi usafi na kelele tuu ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mkuuKiukweli Mke wangu kanizidi usafi na kelele tuu ...
hahahah hahahah mkuu leo nimeamka saa kumi na moja na nusu,, nimepigaMkuu vipi siku hizi uvivu umeisha wa kupiga zoezi? Muda wa kuandika topic kama hizi ndio ungeutumia vizuri kufanya mazoezi.
mkuu veeeper[emoji23]Dah kumamae bonge lajibu
aiseeeeh we umenielewa sanaaa,,Ubovu wa sisi wanawake tukishamzidi mwanaume kitu fulani hasa pesa huwa tunachange sana kwa wanaume wetu tunajiona sisi ndo sisi japo ni baadhi.
Nizidi vyote lakini sio usafi kwakweli
hahahah astaghafilMtume rasul!!!
aiseeeh hapo napo vizuri sasa dah, atakuheshim sana maana akizungua anajua unashobokewa na wale sister duhMi wa kwangu nimemzidi uzuri.
Vipi kuhusu hilo wadau haliui yote hapo juu?
ndiyo mkuu asante kwa kudadavuaLabda nitoe ufafanuzi kwenye point ya pili.
Ni kweli mwanamke hatakiwi kukuzidi kwa ELIMU ila hapa ninaongelea ELIMU ya maisha sio ELIMU ya kukariri vitabu darasani.
Mwanaume unatakiwa uwe na uweza wa kung'amua mambo kwa kina , undani na uhalisia zaidi.
Mwanamke hata awe na elimu kiasi gani bado ataendelea kutumia hisia katika kufanya maamuzi.
yap mwanzoni haitasumbua ila uko mbeleni, mmmhMungu ametuumba kwa kututofautisha katika kila kila kitu!
Kwenye mapenzi hatuangalii hvyo vitu tunaangalia mapenzi ya dhati japokua wanaume wengi kama umewazidi wanakosa kujiamini!
Ila maisha hayako hvyo maisha ni maridhiano
mkuu sio ivo banaaaaa, hapa nazungumzia nawe uwe unapiga usafi weekend , sio unamwachia yeye tuUsafi tena?!
Hapo sasa si ndio itabidi mwanaume naww uwe na dressin table na unaenda mwenge kusafisha kucha
Mungu ametuumba kwa kututofautisha katika kila kila kitu!
Kwenye mapenzi hatuangalii hvyo vitu tunaangalia mapenzi ya dhati japokua wanaume wengi kama umewazidi wanakosa kujiamini!
Ila maisha hayako hvyo maisha ni maridhiano
teh teh , umenikalia kooni sio?Popote pale!
hujanielewa bado, ila utanielewa tu,Mtoa mada unataka kushindana usafi na dada zako?
Pole sana pole sana wanaume ndio mmefika huko?
oookey, bravooKikubwa mwanamke ni kutambua nafasi yake katika ndoa , upendo, huruma na uvumilivu ndio msingi mkubwa mengine ni vya ziada.
mkuu napigilia msumali hapa, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mnavyokuwaga na nyodo....kwa nini mwanaume asikose kujiamini
Kabisa mimi katika hivyo nimemzidi mke wangu elimu tuMungu ametuumba kwa kututofautisha katika kila kila kitu!
Kwenye mapenzi hatuangalii hvyo vitu tunaangalia mapenzi ya dhati japokua wanaume wengi kama umewazidi wanakosa kujiamini!
Ila maisha hayako hvyo maisha ni maridhiano
Nimemzidi elimu tu na ananipenda vilevile hakuna tofautiMungu ametuumba kwa kututofautisha katika kila kila kitu!
Kwenye mapenzi hatuangalii hvyo vitu tunaangalia mapenzi ya dhati japokua wanaume wengi kama umewazidi wanakosa kujiamini!
Ila maisha hayako hvyo maisha ni maridhiano
1 Pesa
2 Elimu
3 Cheo
4 Usafi
[emoji23]Hata Wazungu wanasema hivyo pia kwa watu weusi/Waafrika matokeo yake Ubaguzi na apartheid!