Kuna vitu ambavyo hutakiwi kuzidiwa na Mwanamke

Kuna vitu ambavyo hutakiwi kuzidiwa na Mwanamke

Mkuu vipi siku hizi uvivu umeisha wa kupiga zoezi? Muda wa kuandika topic kama hizi ndio ungeutumia vizuri kufanya mazoezi.
hahahah hahahah mkuu leo nimeamka saa kumi na moja na nusu,, nimepiga

1, push up 200
2, squat 200
3, trycep 250
4, yale ya tumbo pia kama 300

niku vizuri mkuu asa ivi,

mwili umekatika acha kabisa nikitikisa mguu paja linacheza,

hii nyuzi nimeiweka baada ya kupumzika

tuko pamoja mkuu vipi wewe mazoezi? yanaenda au leo unapumzika
 
Kikubwa mwanamke ni kutambua nafasi yake katika ndoa , upendo, huruma na uvumilivu ndio msingi mkubwa mengine ni vya ziada.
 
Mi wa kwangu nimemzidi uzuri.
Vipi kuhusu hilo wadau haliui yote hapo juu?
aiseeeh hapo napo vizuri sasa dah, atakuheshim sana maana akizungua anajua unashobokewa na wale sister duh
 
Labda nitoe ufafanuzi kwenye point ya pili.

Ni kweli mwanamke hatakiwi kukuzidi kwa ELIMU ila hapa ninaongelea ELIMU ya maisha sio ELIMU ya kukariri vitabu darasani.

Mwanaume unatakiwa uwe na uweza wa kung'amua mambo kwa kina , undani na uhalisia zaidi.

Mwanamke hata awe na elimu kiasi gani bado ataendelea kutumia hisia katika kufanya maamuzi.
ndiyo mkuu asante kwa kudadavua

much respect
 
Mungu ametuumba kwa kututofautisha katika kila kila kitu!
Kwenye mapenzi hatuangalii hvyo vitu tunaangalia mapenzi ya dhati japokua wanaume wengi kama umewazidi wanakosa kujiamini!

Ila maisha hayako hvyo maisha ni maridhiano
yap mwanzoni haitasumbua ila uko mbeleni, mmmh
 
Usafi tena?!

Hapo sasa si ndio itabidi mwanaume naww uwe na dressin table na unaenda mwenge kusafisha kucha
mkuu sio ivo banaaaaa, hapa nazungumzia nawe uwe unapiga usafi weekend , sio unamwachia yeye tu
 
Mungu ametuumba kwa kututofautisha katika kila kila kitu!
Kwenye mapenzi hatuangalii hvyo vitu tunaangalia mapenzi ya dhati japokua wanaume wengi kama umewazidi wanakosa kujiamini!

Ila maisha hayako hvyo maisha ni maridhiano

mnavyokuwaga na nyodo....kwa nini mwanaume asikose kujiamini
 
Mtoa mada unataka kushindana usafi na dada zako?

Pole sana pole sana wanaume ndio mmefika huko?
hujanielewa bado, ila utanielewa tu,

simaanishi vile ujuavo wewe,

ila kuna kama kujinyooshea nguo, usafi ndani yaa gheto sio uje upate mafua
 
Mungu ametuumba kwa kututofautisha katika kila kila kitu!
Kwenye mapenzi hatuangalii hvyo vitu tunaangalia mapenzi ya dhati japokua wanaume wengi kama umewazidi wanakosa kujiamini!

Ila maisha hayako hvyo maisha ni maridhiano
Kabisa mimi katika hivyo nimemzidi mke wangu elimu tu
 
Mungu ametuumba kwa kututofautisha katika kila kila kitu!
Kwenye mapenzi hatuangalii hvyo vitu tunaangalia mapenzi ya dhati japokua wanaume wengi kama umewazidi wanakosa kujiamini!

Ila maisha hayako hvyo maisha ni maridhiano
Nimemzidi elimu tu na ananipenda vilevile hakuna tofauti
 
Back
Top Bottom