Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 1,056
- 2,118
For sure, tupo wote hoteli moja apa nilipofikiaAnyway nahisi ilikua interesting meeting though😊
💯For sure, nipo wote hoteli moja apa nilipofikia
Nchi za wenzenu hayo mnayopitia hawayapitii; huko Norway usikute mpaka gerezani wamefunga AC na kila mfungwa ana master bedroom na sebulenilikuwa nasua sua kwenye imani ila kuna kipindi nilipitia aloh nilisugua goti hakika nikamwona Mungu mpaka saiv huniambii kitu