Kuna vitu ni vigumu sana kuvitetea

Kuna vitu ni vigumu sana kuvitetea

Ukweli ni kwamba

Wanaopinga uwepo wa Mungu, wamezipinga ishara za uwepo wake- ambazo zipo wazi-, hivyo hakuna namna unaweza kuwaaminisha kwa sababu tayari wameshapinga ishara za uwepo wake.

Hivyo siku zote huwa hawakosi hoja.

Siku zote huwa ni ngumu sana kumuelewesha mtu jambo ambalo lipo wazi.
 
Kwanini umuaminishe? Kama kitu kipo hakuna haja ya mijadala . Mwanadamu ndio aliyemuumba mungu katika fikra na mawazo yake , kwanini mtu asiyeamini kitu asichokiona mnamlazimisha haamini? Mungu Angekuwepo hata mijadala isingekuwepo
 
Imani hujengeka ndani ya mtu kwa neno la Kristo, wewe hubiri neno kwa usahihi kadri anavyosikia ndivyo atakavyoamini.
 
nilikuwa nasua sua kwenye imani ila kuna kipindi nilipitia aloh nilisugua goti hakika nikamwona Mungu mpaka saiv huniambii kitu
Nchi za wenzenu hayo mnayopitia hawayapitii; huko Norway usikute mpaka gerezani wamefunga AC na kila mfungwa ana master bedroom na sebule
 
Back
Top Bottom