Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Yaani wamehamisha watu Kwa kuwalipa mabilioni huku wakijua kabisa magari makubwa hayatokua mengi sababu Kuna bandari kavu ya Kwala iliyopo Vigwaza
Sasa najiuliza wakijenga huu mradi wa hayo maegesho watapaki kina nani maana magari yote yatakuwa yanaondokea Kwala
Hili bado sijajua vizuri maana huu ni upotezaji wa pesa za walipa Kodi bila kutumia akili na mpaka Sasa hivi bado hawajajenga huu mradi kupo wazi tangia mwaka jana
Kweli muafrika akili huwa hazipo kichwani maana hapa wamepotezwa mabilioni kuhamisha watu