Kuna vitu serikali inafanya sijui kama wanatumia akili kama hili la maegesho ya Magali makubwa Kibaha Misugusugu

Kuna vitu serikali inafanya sijui kama wanatumia akili kama hili la maegesho ya Magali makubwa Kibaha Misugusugu

Pointi Gani hata hujui sehemu ilipo umekurupukia Kwa kurukia Uzi kutetea wezi watu wamewahamisha wananchi tangu mwaka Jana wameacha wazi ulikua mradi wa wizi Ili watu wapige nchi inaongozwa na wajinga +wezi

Ulitaka nitetee vilaza au?

Sasa kazuie basi!
 
Nani kasema hiyo bandari kavu ya Kwala itahudumia mizigo yote. Au hata robo tatu ya mizigo.?
 
Nani kasema hiyo bandari kavu ya Kwala itahudumia mizigo yote. Au hata robo tatu ya mizigo.?
Kumbe itahudumia nini kama sio mizigo mingi na kufanya gari zisiende maegesho ya misugusugu miaka hii watu sio wajinga wa kuwadanganya mradi wa hapo kibaha misugusugu ni Kwa ajili ya wapigaji wa nchi
 
Back
Top Bottom