Kuna vitu si vya kukabidhi Mwanamke

Kuna vitu si vya kukabidhi Mwanamke

Wanawake tumeumbiwa WANAUME tuwapende tuu, mengine achana nayo....tuwapende tuu...yaani mahaba batani......mali kitu gani??? unakufa unaacha unakwenda zako mpende wako blaza viwanja nini bana mpende mpaka mfanane uzee wenu muufurahie.
 
Back
Top Bottom