Kuna vitu si vya kukabidhi Mwanamke

Kuna vitu si vya kukabidhi Mwanamke

Kama mwanamke umezaa nae watoto km wawili hivi.

Inabidi ujifunze kumuamini sababu hata akitoroka na mali bado watoto watafaidika.

Kuishi na mwanamke kwa akili sa nyingine inamaana kuwaza mbali na kwa marefu na mapana.

Mwanamke umemuoa mwenyewe,umemchagua mwenyewe unaweza usimwamini asilimia 100 sababu ni binadamu na muhimu zaidi mwanamke lakini huwezi kumyima japo 80% bila sababu ya msingi.
 
We unadhani wote ni akili za kawaida wengine wanaroga sana
 
Mimi hapo nakupinga kidogo mfano kwa mke wang mm namuamin kwa vitu vya aina hiyo japo najua sio kila mtu wa kumuamin lkn kuna vitu vingine mbona simple tu mfano mke wang kanizalia mtoto nifiche hat ya nyumba sijui nifiche nn wala sion km inamantik angekuw ni kimada hapo sawa ukiona mke wako unamfichia mpk hati ya kiwanja au nyumba bhas ujue umeona tabia zake sio kwahy si kila mwanamke yupo hvyo
 
Jamaa anashauri as if kila mwanaume amemiliki vitu tajwa , mfumo wake wa maisha ameelekeza uguse jamii nzima,
 
Back
Top Bottom