Yaani watu wako radhi kukumbatia dhambi za ajabu sana ila papa kagusia tu kuwahurumia mashoga imekuwa nongwa. Waafrica ni wapuuzi wa kufikiri. Angalia hii:
Watu Hawa wanazini wazi wazi ila huwezi kukuta makanisa au misikiti inawafikuza zaidi ni kuwakumbatia kwa sababu wana hela:
1. Diamond pltatnumz anazini hadharani kabisa mana Hana ndoa ila ana watoto(zinaa)
2. Manara anazini mubashara na Maka kaenda.
3.: Gigi money anajiuza kabisa lakini anashinda kwa mwamposa kuombewa jioni anaenda kusaka wanaume.
4. Wema nsepetu anazini na whozu daily na msikitini hakosi na anonekana ni hero pia