Nilishangaa sana. Nikasema kumbe ukiwa shoga kuswaliwa ile swala ya mwisho ukifa rukswa. Sasa hapo si inakuwa mmekubaliana na vitendo alivyokuwa akifanya angali hai? Au mimi sielewi?Labda maiti ikiwa na deni ndio mpaka alipiwe ndio mnazika ,ila maiti yeyote inazikwa kama kunifadhi kwani mjuzi ni mwenyewe Mungu.
Hata dua anaombewa .
Kwani wale siyo watu au ni maroboti. Kama nyie mna haki ya kuzini kwa ni I wao wasiipateKwa hiyo na mashoga nao wapewe haki ya kuzini hadharani?
Hujielewi nn? Nimekuuliza jibu swali tujue.!?Sasa papa mnamshitumu Nini au elimu ndogo ndo unasumbua tu
Mtu kashakufa unataka uache maiti bila ya kuzikwa ,kuzima ni kusitiri mwili kama binadamu wala hamna jipya zaidi.Nilishangaa sana. Nikasema kumbe ukiwa shoga kuswaliwa ile swala ya mwisho ukifa rukswa. Sasa hapo si inakuwa mmekubaliana na vitendo alivyokuwa akifanya angali hai? Au mimi sielewi?
Ngumu kumezaMtu kashakufa unataka uache maiti bila ya kuzikwa ,kuzima ni kusitiri mwili kama binadamu wala hamna jipya zaidi.
Kuswaliwa na siyo kuzikwa.Mtu kashakufa unataka uache maiti bila ya kuzikwa ,kuzima ni kusitiri mwili kama binadamu wala hamna jipya zaidi.
Mapenzi ya jinsia moja hayana faida toka enzi. Bora hao wanaozini wanapata watoto kwa faida yao na dunia kiujumla.Kwani wale siyo watu au ni maroboti. Kama nyie mna haki ya kuzini kwa ni I wao wasiipate
Dhambi zote ni sawa acheni ujingaMapenzi ya jinsia moja hayana faida toka enzi. Bora hao wanaozini wanapata watoto kwa faida yao na dunia kiujumla.
Ndugu yangu kama huingii msikitini hata kuswaliwa ni geresha tu ila kukamilisha mazishi ,kwa taratibu za kiislamu kama jukumu la mazishi litafanywa na waislamu lazima wafuate hatua zote kama kumuosha ,kumkafini maiti ,kumswalia na kumzika.
Wanaolawiti wanawake na wanawake wanaolawitiwa hao unawaweka kundi gani??Mapenzi ya jinsia moja hayana faida toka enzi. Bora hao wanaozini wanapata watoto kwa faida yao na dunia kiujumla.
Bado hujaweka wingi wa wanaume wanaoingilia wanawake kinyume na maumbile siku hizi. Bado hujaweka mafisadi wanaoiba fesha za umma na kusabisha vifo kwa ajili ya kukosa huduma muhimu. Bado hujaweka manabii na mitume wanavyotafuna kondoo wao. Bado hujaweka wauaji kama waliotaka kumuua Lissu. Ni unafiki kwa kwenda mbele.Yaani watu wako radhi kukumbatia dhambi za ajabu sana ila papa kagusia tu kuwahurumia mashoga imekuwa nongwa. Waafrica ni wapuuzi wa kufikiri. Angalia hii:
Watu Hawa wanazini wazi wazi ila huwezi kukuta makanisa au misikiti inawafikuza zaidi ni kuwakumbatia kwa sababu wana hela:
1. Diamond pltatnumz anazini hadharani kabisa mana Hana ndoa ila ana watoto(zinaa)
2. Manara anazini mubashara na Maka kaenda.
3.: Gigi money anajiuza kabisa lakini anashinda kwa mwamposa kuombewa jioni anaenda kusaka wanaume.
4. Wema nsepetu anazini na whozu daily na msikitini hakosi na anonekana ni hero pia
Sema wewe kiazi, mimi mhogo nitaambiwa nina mizizi. Na huu mchezo ndiyo una-trend kwa sasa.Wanaolawiti wanawake na wanawake wanaolawitiwa hao unawaweka kundi gani??
Swala ya maiti kwani unajua ina nn ndani yake ? Ile ni janeizar tu kuombea dua .Accumen Mo Bado hujajibu hoja.
Swala ya kumuombea maiti siyo takatifu??
Kama swala ni takatifu, kumswalia shoga ni sawa!!??
Ushoga siyo ukafir!!??
Watu wanafanya dhambi nyingi ila wanahukumu sehemu ndogo kabisa.Sema wewe kiazi, mimi mhogo nitaambiwa nina mizizi. Na huu mchezo ndiyo una-trend kwa sasa.
Kati ya wasichana 10, 6 tayari wameshapitia njia hiyo.. Na huu mchezo ndiyo una-trend kwa sasa.
Sasa hapo elimu ya nini?Sasa papa mnamshitumu Nini au elimu ndogo ndo unasumbua tu