kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Habarini wana jamvi.
Aisee kuhonga hakuepukiki kabisa kwenye maisha ya siku hizi, honga vyote ila usihonge simu wakuu.
Kwa upande wangu kiukweli ntahonga hata mwili kwa ma shuga mummy lakini siyo simu.
Bado nawaza wanaoweza wanawezaje, bora uhonge hela yeye ndio aamue kununua simu.
Nb: Shtuka shtuka ba mdogo kuhonga simu undezi huo.